Wimbo wa Chid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbo wa Chid

Discussion in 'Entertainment' started by mshana jr, Oct 2, 2012.

 1. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,115
  Likes Received: 80,587
  Trophy Points: 280
  Mmewahi kuusikia wimbo wa chid benz uliojaa matusi yasiyoandikika kama nat..ba mademu kibao nk nk! halafu kila baada ya mstari anamalizia na neno kum...ko! chid hii c sawa pamoja na studio iliyorekodi wimbo huo
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,253
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  tulisha isikia tulishaisahau...
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaa Nampenda Demu wangu Latifa,Nam..ma vizuri nina Bonge la mb.. Ku....ke!!! Haaaaaaaaa enzi hizo bado hajatoka!! Ni kama Kalapina na Dogo Hasheem,JCB,Chindo walikua na freestyle za kutukana......"Nashangaa watu wanasema mie mweusi kma mkaa Ku..m.ke"..........
   
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mbona hamsemi zile za kizungu zenye ffff***** nyingi??
   
 5. m

  mujitahid Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  au zile sugu mvaa magwanda
   
 6. gwandumi

  gwandumi Senior Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ndo maana zinaitwa freestyli na ndio maana hazipelekwi redioni....alafu msanii ndio kioo cha jamii kama anatukana basi ujue hiyo jamii imejengwa kwenye matusi....kuna nyimbo za miduara taarabu zinapigwa redioni "rasmi" na zinamatusi ambayo mtu yoyote mwenye hekima hawezi sikiliza na jamii inaserebuka nazo tu!...hiki ni kizazi cha nyoka!...:hatari:
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Kizazi cha kenge.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...