Wimbo wa CHADEMA kuhusu miaka 50 ya uhuru

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Hili ni wazo tu. Kwa kuwa serikali ya CCM imetumia wasanii kadha wa kadha kuimba nyimbo za kuipamba na kuisifu serikali ya ccm kwa maendeleo makubwa imeyoleta tokea uhuru (propaganda), angalia Tbc1 kuanzia saa moja jioni na kuendelea utajionea mwdnyewe.

Kwa hiyo nashauri wasanii wanamuziki ambao ni pro-CHADEMA na wenye uchungu wa kweli na nchi yetu watufyatulie single moja inayohusu miaka 50 ya uhuru na kuelezea hali halisi ilivyo na machungu yanayowasotesha watanzania kila uchao kutokana na uzembe wa serikali inayoongozwa na CCM...

Naomba tuwaorodheshe hapa chini halafu tuwa notify kuhusu hii project sio tukae tu kimya huku tukishuhudia sisiemu ikipotosha bure umma wa watanzania, endelezeni sasa..

Mimi nadhani CDM kama taasisi inayojiendesha kwa kodi zetu wananchi, watangaze shindano la kutunga nyimbo na vitu vingine kwa ajili ya sherehe za miaka 50, wazijumuishe shule za misingi, sekondari na vyuo na baadae kuwepo na tamasha la wilaya, mkoa, kanda hadi kitaifa. Hilo litasaidia mengi, sitaki kumwaga mchele wote hapa.

Ila najua serikali wataanza oooooh, siasa mashuleni hazitakiwi. Mara sijui, lakini cha msingi ni kutafuta namna nzuri ya kurudisha kodi kwa wananchi na siyo kuwahonga wakati wa kampeni.

• Thanks
Reactions: Map
chadema inajiendesha kwa kodi za wananchi? nahisi sielewi maana ya kodi...

Mie nimetunga bure nyimbo za cdm na tena za kiruga changu mtaanza kuzisikia chinichini

1.Roma
2.Jo makini

Roma Mkatoliki...
Kala Pina...
Mrisho Mpoto...
Bonta...
Dani Msimamo...
Kala Jeremaya...
Izzo bizness...
Mkoloni...
Sugu...

Wanafa ila hivyo vitisho watakavyopata kutoka ccm vitawapoteza si unawajua hawapendi mtu mkweli?

Back
Top Bottom