Wimbo wa Alikiba 'Mediocre' - Kweli kila zama na muda wake

Daaaaaah Habarini Wana jamvi...?

Kweli Kuna ule msemo unaosema kila zama na mda wake, leo ndio nimekubali huu msemo.

Nimejaribu kusikia wimbo wa huyu mzee wetu Alikiba nimeona kaishiwa kabisa na anatafuta back up ya kurudi kupitia Diamond the G.O.A.T.

Unajua, kutokana na hivi Karibuni harmonize kuvuma sana na kuanza kumshindanisha na Diamond the G.O.AT. watanzania walikuwa wamemsahau huyu mzee wetu Alikiba

So kwa huu wimbo Mediocre kweli Kama amemaanisha Basi kweli ni mediocre yenyewe.

Namuomba Diamond the G.O.A.T. akae kimya ili alone aibu mwenyewe maana Diamond alisema hatatoa tena KIKI ko nione tunavyo msahau kwa utopolo huu plus utumbo.

Namalizia kwa kusema ameshazeeka na asitaafu mziki,ameachiwa Diamond the G.O.A.T mwenye Bongo flavor yake.
Kijana wa kiume ,una mambo ya kike
 
sina team lakini mediocre ni aibu ya TAIFA, narudia tena ni;
aibu
aibuu
aibuuu
aibuuuu
aibuuuuu
aibuuuuuu
aibuuuuuuu
aibuuuuuuuu
aibuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuu
aibuuuuuuuuuuu
ya taifa
Sio siri Ali aache tu kuimba
Wimbo hauvutii hauna beat hauchezeki full majungu mwanzo mwisho hivi unaulinganishaje na Cheche ya Dai na Zuchu.,?.
 
289e8577859d4846bd5208df1f0b9f47.jpg.jpg
 
Mediocre in Swahili - Ujinga! na kweli safari hii King umeimba ujinga 18 years kwenye game then unakuja an hii
 
We fala una matatizo ya akili

Nimeuangalia huo wimbo Kiba kaimba vizuri tu sio kama utopolo wake wa So hot sijui na matakataka yake mengine.

Uache kuwa Mediocre sasa, sawa bwana mdogo Innocent Independent ?
Sasa nani innocent jamaaa chizi kweli, Mimi au huyo kibamia ndo aache kuwa mediocre Kama linyimbo lake libaya ebooooh.

#NO KIKI NO BUSTA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom