wimbo wa ALAJI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wimbo wa ALAJI

Discussion in 'Entertainment' started by NGULI, Jun 25, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa wale wapenzi wa MUSIC watakuwa wameusikia huu wimbo ammbao unatamba sana hivi sasa. Nimependa sana mpangilio wa ngoma zinvyopigwa ila sifahamu kinachosemwa ni nini nachosikia ni neno alaji x 10. Kuna mwenye kuufahamu huu wimbo vizuri -unasema nini/una maana gani?Nasikia ni wa west Africa au central. Sina uhakika kama nimepatia spelling za jina la wimbo wenyewe.Najaribu kuuweka hapa ambao hawajisikia wausikie ila unafail.
   
 2. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huu ni wa Ivory Coast hata mimi napenda kufahamu una maana gani
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,022
  Likes Received: 23,754
  Trophy Points: 280
  Mi napenda kuucheza (niko fiti kwenye kukata mauno) Ila maana yake labda ngoja nim-PM Didier Drogba...
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha, kuna watu wana vipaji duniani huyo jamaa anayepiga ngoma respect!! si mchezo mazee watu wako fit
   
 5. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huwezi amini nikiusikia sehemu lazima nisimame kuusikiliza, huu wimbo si mchezo.Wadai tupeni maana yake.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sijui nikoleze maandishi hayo??:pound:
   
 7. J

  Jafar JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  IT IS CALLED ALHAJI, ALHAJI, ALHAJI; By DJ Ramatoulaye

  SEE COMMENTS FROM THE NET ABOUT ALHAJI SONG:

  Stephan Hamidou Doukouré, aka Douk Saga, is a musician from the Ivory Coast.
  Part of the group, La Jet Set, he is known to be the creator of the music genre that has taken Africa and the rest of the world by storm, called Coupé-Décalé and is affectionately called the President.
  Coupe Decale means 'cut and shift'. It is a unique style using African percussions, deep bass among others. It expressed the pulse of the Ivorian society while giving an insight into the political situation of the country.

  Alhaji, Alhaji, Alhaji.... they don't say much in the song but it is a big big hit in most parts in Africa if you love this Alhaji music, U must know how to ****!!!!! I'm serious. Bcos, any girl wey sabi dance this Alhaji must dance the same style on BED.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,022
  Likes Received: 23,754
  Trophy Points: 280
  Ulipata nini kwenye somo la sanaa?
   
 9. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wimbo umehit sana hata mie naupenda lakini sijui kuucheza.:biggrin1:
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145


  Ok... May be that is the reason behind serious booty shaking when the music louds...!! it sounds more of a night music to me!!
   
 11. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #11
  Jun 25, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Nikiangalia majibu ya chrispin, inaonyesha huu wimbo alikua anajua maana yake tangu mwanzo
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  wewe ulipata marks nyingi sana kwenye somo la sanaa!!
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa imani ya dini ya wenzetu maana yake ni mtu aliyeenda kuhiji sasa hapo kwenye red mh?[​IMG]
   
 14. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  heee ndugu yangu Jafar aisee!!
  nimecheka vibaya khaaaa yani "you must know how to----"
  kweli zile ngoma zinamvuto balaa,yani zinahamasisha kuucheza balaa
  kwa sie waswahili
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  Majibu unayo Chrispin tulikuwa darasa moja enzi zileee
   
 16. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
 17. senator

  senator JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Huu wimbo kweli kwa sasa upo juu..na watu wengi wameuweka kwenye ringtones zao kama ule wa Mbagalaa!
  kawaida ya wabantu tunapenda midundo( mpangilio wa vyombo) pasipo kujua kinachozungumzwa...Ila huu uwakute wale kibao kata wakupigie show ya alhaji unaweza pagawa kwa miuno!
   
Loading...