Wimbo uliohit huku ukiwa na maneno yasiyo eleweka hata kidogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbo uliohit huku ukiwa na maneno yasiyo eleweka hata kidogo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jan 25, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  NGANGARI-KINOMAAH!! HILI daluga kichuga-chuga unenge zali mazabe.... 'take care'
  machizi wanatambaa na boda/masela masimela wajera-jera/Bongo wanahisi wako ahera viepe dume mikasava mawola kamili kimentali/gado kiembasado kula nyoro kwa chabo/ngoma ina-yeya mbona byeee-yekete/mambo ya visadolini makonkodi krini lodi kwa lodi makata logi kohojo " B " tiadisprini utazimia na roho yako wehu tukiikamatia mitandao mbwisi kata shingo wachizani tuwaluke na madingo jego moko mtu mmoko dili zote magendo ukizubaa kitendo kwa taarifa yako kitu kidogo bolibo mnala watu tuko ala mkangafu ngalangala mavumba ya kujifukizia manu ya kupalata mesheni za kutempa za kuchumpa za kupalama nanga inapaa hiki sasa kiama dunia nyanga ekatoo stenkoo dusro-dusro hado-hado jagi kisado walumendago dili mtulu au sago.

  Chorus: Usawa ni mgumu hata uki-vuta... ndumu yeeaah!
  Ikizidi sana jua utakunywa sumu yeeaah!
  Eeeh Ngangari waaah waaah!
  Watu kumbe Ngangari waaah msegeju!

  Agweee-Yeeh!
  Mi yangu nikulongile kunihulika/ na kuhulika bureeh!
  natakakwenda msanga(oooh naulina bureee x2)
  chaka chakaaa x2
  msela wako vipi masela wako vipi wako Ngangari-Ngangari kinomaaah!
  Gangwe wako vipi x2
  wako Ngangari-Ngangari kinomaah
  Kisela-sela..kisela-sela waaaaah!

  Naku-nakulashazi kimang'ati mguu-kaaati/kama hutaki-taki kaa kati kona ni kali/ngoma inalamba chakijalamba shawari li' kuvinjari/bwimbwi vigimbi mashuki-shuki ushuri lukuki makila kitu nyukip kiipu mambo vishoya sembe chapa maoa utagoshoa nyopoa-poa katadau finyadinyelu mchuma peru tulia mawelu-welu x4/ sauti mvua ngoma bamvua/ulak chamu denge lua chuya kibwasti mchele kunga valia njuga mida minene saka mapene cheua uteme ewaaaah! ngekewa kismeti si unacheki/si-mcheo kajanja wako michoto alosto paso stimu a bia aitutoi nishai mpaka tupate tu-tu shiii! Haaaahah nakachaso kimtulinga piga umbeta manyau-nyau makalateka peleka ngalisa shavu hinhaaaah-hinhaaah!ngangari-kijemedart kivagalanti kidontachipira ugokoni ndochi macho mbele mbele tooo-chi haina kontrola ngoma na posonga haiofii nguvu ya dola ngalinya nyengo sekela kitutenimsobe machela ndinga imetambaa na besela/haiko mukinga kula deo chaboluningagumza kimachinga nang'olo jambo abari jenero idawakosombile nungu sakuma mena pasopa wena eyoooh! mikito mnato ngoma bado ina moto nzito zali zikijileta usifumbie macho nyendo za kiminyato kata mtalo chalo bongo miganda galo halooooh! chizi chizi kakabidhiwa jalala la dampo patamu hapo hapa ndipo palipo vuka soksi kiatu kikabaki wajuba zali pokidali watu ngangari eeenheeh! ngangari dona limevaa koti tatizo noti ngangari nyomi hazisanyi whu nyikani noma kafia Sudani hoheeh-haaheeh! tuliza mabutu upate taf taheeh yakheeh wee wasusa wenzio twala he-waliwaaa kalibu shekhe una japo upate kikombe cha gahawa kama mali ya mtu yaliwa bure kulaaah! mashalwaaah! machale konoli cheki-saiti shingo kwa ********* kama una-dupu zimia na sori ndumu mtu sembe kauzu chukuchuku kibandidu gojogojo x4 bwabwa limekolea tandu ogo chachandu.

  Chorus

  Composed by Inspekta Haroun of Gangwe mob and produced by P-Funk.
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii ngumu kumesa........!!
   
 3. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndio wasanii wetu hao, ndio maana nyimbo zao ni mithili ya big g ukitafuna zinaisha utamu, leo nyimbo inahit baada ya miezi miwili inakua zilipendwa...wasanii kuneni vichwa acheni ubabaishaji na kuigaiga...
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna mwimbo wa piggy-black wa kiwa-side unaitwa "nini mnataka mazee"
   
 5. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  asilimia kubwa ya wapenzi wa muzic tanzania ni wabange bange tu hivyo hawako tayari kungalia meseji
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Kila neno lina maana na mantiki na linaweza kutafsirika, labda ni wewe tu usiyeelewa kwa vile si mlengwa.

  Hawa jamaa wametumia style fulani ya economy of words inayoflow na concepts building pictures zaidi kuliko narrative, kama baadhi ya nyimbo za Wu-Tang Clan.

  Huwezi kutegemea mshabiki wa Paul Simon aelewe style ya Wu-Tang Clan.
   
 7. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii mashabiki mbona tunaelewa kabisa.....lol.....
   
 8. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Inaitwa Bongo-Katuni sijui ilifia wapi. Pengine BASATA waliamua kuiondoa kimaadili
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Wameshakwambia wenyewe hapo "wewe wasusa wenzio twala"

  Now you gotta admit kwamba for them to anticipate what you will say and give you that they must be a cleverly fiendish hood poets.

  Tatizo half the population can't decipher half of a quarter of the lyrics.

  It's like telling a typical Maasai herdsman that space is curved, it's out of his sphere.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Bujibuji mbonamaneno yake yanachekesha ikawaje uka hit?
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  kiranga naona umewasaidia sana, unadhani watakuelewa?
  hizo staili ndiyo haswa zilileta maana kwa walengwa (watu wa kitaa-na wote wenye kuweza kuskiza na kuelewa nyimbo NGUMU za wagum walio katika maisha magum), hiyo siyo bongofleva (inayolenga wadada na vijana wa shule)
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  kwani wewe umeusahau huo wimbo wa gangwe mogg ulikuwa unaitwa ngangali?
  Ngoja niuweke hapa uusikie
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wakapate somo kwa kamilioni
   
 14. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umenikumbusha mbali ile mbaya mkuu, nlikuwa naupenda sana kipindi hicho nlikuwa kijijini
  moshi, nlikuwa na ka radio kangu kadogo natembea nacho mithili ya masai, hata juu ya mti nlikuwa napanda nayo kwani 'the heat' ya radio one ilikuwa ikiitandika sana.
  ilikuwa tamu we acha tu, inaeleweka vizuri tu labda kama hukusoma kiswahili.
  anyway. asante sana
   
 15. LIKUD

  LIKUD JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2015
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 3,854
  Likes Received: 781
  Trophy Points: 280
  Mbona unaeleweka vizuri tu sana kaka. Uliza ambacho hujakielewa hapo nikudadavulie..
   
 16. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2015
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,667
  Likes Received: 17,705
  Trophy Points: 280
  Hiyo track inaeleweka sana.Napenda sana rap katuni kuliko kawaida.sina kabisa nyimbo za sasa.mimi kwangu Juma,Haruna,Mabaga Fresh,GWM Majitu,bado ni wakali kwangu.hawa machizi ni mara chache sana kurap mapenzi,na wakichana mapenzi hawalii-lii....Sikiza Mtoto wa Geti Kali na Sonia wanavyopewa michano,sikia Sitaki Demu ukizinguliwa...ukiniambia hata jina la nyimbo moja ya Young Kila siijui....niambie kuhusu Wachuja Nafaka na Gagwe Mob na machizi wengine miaka ya 90
   
 17. Mazigazi

  Mazigazi JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2015
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 3,974
  Likes Received: 2,141
  Trophy Points: 280
  Daah hahahah maishairi ya ajabu.

  Ila ilitulia sana hahahahah

  Gangwe ngangari ngangari kjnomaa!!
   
 18. Patrickn

  Patrickn JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2015
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 7,454
  Likes Received: 3,818
  Trophy Points: 280
  Yaani nimesoma huo wimbo nimecheka vibaya..... hivi akiambiwa aurudie jukwaani ataweza? Au ndio yale ya Feruzi aliendaga Burundi akaambiwa aimbe wimbo wa kamanda na jamaa alishausahau wakati kule kwao ndio umeshika kasi
   
 19. Patrickn

  Patrickn JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2015
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 7,454
  Likes Received: 3,818
  Trophy Points: 280
  Dah hapo umemtaja Young Kila umenigusa dogo namkubali sana...skia ule wimbo unaitwa 13 ft Fid Q na Belle 9... afu producer Pfunk....aibu
   
 20. K

  Kichwa Ndio Mtu JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2015
  Joined: Jan 17, 2014
  Messages: 3,089
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 0
  Mimi hapo nimetoka kapa
   
Loading...