Wimbo mpya wa Nikki Mbishi - Kama Unatafuta Kiki

Hahaha mkumbushe ajipange maisha yenyewe ndio haya haya

Post sent using JamiiForums mobile app
hahaha, jamaa "much know" sijawahi kuona, he is too rigid and he thinks highly of himself mpaka anaboa.

But kipaji anacho, tena kikubwa sana pengine kuliko msanii yeyote wa hip hop, ila ndo madhaifu yake hayo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nikki ni msanii mkali mno...Kama akiamua kufanya mziki kama biashara atafanikiwa mno otherwise ataendelea kufanya mziki wa kufurahisha watu wanaomzunguka.

Watu wanamtaka Nikki yule wa Play boy,Kila siku,Nyakati na sio Nikki huyu anaye-rap kama katoka Kulala usingizini.
kipindi hicho kulikuwa na M-LAB, sasa hivi wapo Tamaduni music ndo wamekuwa ma-"nigga hip hop" kupitiliza.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Goma lina Mistari Hatari,Amber lulu na giggy WaPo jolly???

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la huyu jamaa anajiona mjuaji kwa kila kitu,ukimkoso mnakosana.na tangu M lab ife,basi Nikki hajatoa tena ngoma kali,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom