Wimbo maalumu kwa wanaopitia mateso na majaribu magumu akiwemo Ndugu yangu Erick Kabendera na wengine wenye matatizo mbalimbali .

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,065
Katika chorus Roma amasema Yupo Mungu wa kukufuta machozi

Kabendera huko ulipo na akina Tito Magoti na wengine wenye maswaibu mbalimbali yanayowasibu ,jipeni moyo mkiwa magerezani,mahabusu ,mahosptalini ,majumbani ..Mateso mnayoyapitia ni ya muda tu yatapita ,Roma amasema wapo akina Meshack na Abeli hadi kwenye tanuru la moto walipita lakini walishinda ..

 
Back
Top Bottom