Wimbo huu wa Mrembo Tshala muana una maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbo huu wa Mrembo Tshala muana una maana gani?

Discussion in 'Entertainment' started by Watanzania, Mar 18, 2010.

 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna wimbo huu hapa chini kwenye link unaitwa Kalume, umeimbwa na Tshala muana. Nimeupenda sana lakini sifahamu tafsiri yake. Anaonekana akiimba akiwa na mwanamume na inaelekea kama maongezi fulani anafanya naye. Kwanza anamkatalia mwanaume kucheza naye, na kuna sehemu anakuwa kama anataka kumwaga radhi. Baada ya maongezi ya kuimba, hatimaye anamkubalia huyu mwanaume kucheza naye. Ni kama stori ya aina naye. Mwenye kujua tafsiri yake anitafsirie na aniambie ni lugha gani huyu mrembo Tshala Muana alikuwa anatumia.
  Natanguliza shukrani zangu.

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=0KyM03QLDjU"]YouTube- Tshala Muana- Kalume[/ame]
   
Loading...