Wimbo gani wa zamani uliupenda

Mashemeji wangapi, mimi nimechokaaa............
tena najiuliza sana, wanatokea wapi.............
wanitia mashaka, nakuwa na wasiwasi.........
unaniweka roho juu imani nawe imeshanitoka.....
(hivi siku hizi mtu ukianza kujiuliza hivi si utakuwa kichaa?)
teh teh teh umetisha
 
Zamani kuanzia lini. Watu tumekula magunia ya chumvi hadi tunasahau zamani ni lini.
 
Mpango mzima kwa TP Ok jazz...ni balaaa kilaaa songi ni tamu..wap kamanda wangu SEKONGE kula kitu FAU'TE YA COMMENTAN'T ya Sam Mangwana!!
 
Mnamkumbuka marehemu Joseph Kabasele wa Africn jazz na kitu chake cha INDEPENCE CHACHAAA...gitaa ilikuwa inapigwa na jamaa Anaitwa Pablo Machine 1950!!!!!!
 
ilikuwa mwaka 1914,hivi ulikwepo vita vya maji maji?
wakati huo.............. enzi zetu tunabembelezana.............
ukiondoka Geogina, utaniletea masikitiko................ wa siku hizi wanaambiana
Kumbe ni kichwa kinamuuma, kishalewa, anajipoza na maji,
Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza ma melody
Nishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuwa chizi
Hayanaga ujuzi yawee, kila mtu analilia mapenzi
Karibu chama la bachala, Ukinipenda, namaliza leo leo tu
Siku hizi kwa kudanganyana, Mvulana msichana ishakuwa poa poa tuu
Hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale
Money on the table, kinachofata ni mimi na wewe
 
kuna songi moja iv.... kuoana ni jambo la sifa kwa......! naupenda huu wimbo, kaimba ukweli mtupu na busara kibao yan!
 
"SIRI YA USINGIZI"DR REMMY ONGARA!
Siri ya usingizi ni nini eeeeeee!siri ya usingizi ni mwanamkeee.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom