Wimbo gani unaupenda zaidi?

Full Clip- Gangstarr.


Mzee kuna "Militia" akiwa na Big Shug na Fred Foxx,Big Shug alifunika mbayaa!!Mzee Guru na Primo ni f***kn Geniuses mzee.

Mi kwa sasa nasikilia Propaganda ya Fid Q na pia nasikiliza "Dead Presidents" za Jay-Z part zote,I hadi III,Jay-Z was an insane back then 1996!
 
Hivi awa madem wa kwenye threads za 2011 kushuka wako wapi siku hizi?

Nahisi yule Waziri Kairuki kama ni mmoja wao hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom