Wimbo gani unaupenda zaidi?

Beat it.. By Michael Jackson. Mashairi na vyombo ni dawa tosha kwangu hasa lile Gitaaaaa lenye kiherehere... Tafadhalini upitieni kidogo kisha mrudi kuniambia. Auto repeat ndo zangu hapo!
 
<br />
<br />
nitautafuta jiöni mkuu.
 
Back
Top Bottom