Wimbo gani unaupenda zaidi?

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,585
5,758
Wana Jf
najua kuna wimbo unaupenda kuusikiliza kila siku iwe ofisini, kwenye gari lako au nyumban kwako!
Mimi binafsi "africa unite" wa bob marley.
Unapenda up?
 
Thank God for the suffering ulioimbwa na cradle of filth...hii bendi ni nouma. :)
 
Dah! Ninapenda nyingi sana ila huwa nazisikiliza kukingana na mazingira,nyakati, ninapo kuwa mbali na familia yangu napenda sana kupiga song la craing devid "im waking away"
 
mimi kwa wiki mbili/tatu sasa nimekuwa nikisikiliza wimbo ilioimbwa mara mbili kwa lugha mbili tofauti za kinyarwanda na kiswahili, wa KWETU PAZURI au IWACU HEZA za ambasadors of christ mfululizo bila kubadilisha wala kuchoka!

Glory to God!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom