muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,511
- 3,477
Umuofia kwenu,
Wakuu nadhani hali kama hii hutokea. Unaweza ukakuta wimbo unaupenda sana sema ndani ya mashairi yake kuna msitari mmoja tu huwa unakuweka "off".
Binafsi wimbo as Dogo janja-Ngarenaro naupenda sana ila tu akiimba, "unanipa mpaka mambo ya uani", huwa naboreka sitaki niendelee tena kuusikiliza! Vipi wengine hali hii huwa inawatokea? Taja wimbo na sehemu inayokuweka off mood!