Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

Kisura

JF-Expert Member
Jun 21, 2007
364
26
Wapenzi wa Muziki,

Nyimbo gani Imewakaa kichwani leo, na kwanini?

Mimi leo tangu niamke, nausikilizia, "A Rose By Any Other Name, by Teena Marie feat. Gerald Levert (RIP)....
 
Mimi nasikiliza 'she's got that vybe' by R.Kelly.... naupenda sana huu wimbo, ni wa zamani na unaendana sana na siku kama hii... kwa mtu anayetafuta lake!!

Kisura, samahani kwa kukuvamia huku pia, kuna ile thread ya 'victoria secrets' na maswala ya picha yaliyojitokeza... vipi sasa, mbona hiyo Avatar huweki jamani?

SteveD.
 
SteveD, wewe kweli ni mtukutu! Mbona umeshikia Bango sana Avatar yangu"? he he he! au ni ili jina bado linakupa maluweluwe?

R.Kelly is one my fav's too, especially with, "I wish" , "Dedicated", "Slow Wind" to name a few..........
 
Sawa Kisura, naona harakati zangu na hiyo picha za ahadi zina zidi kugonga mwamba... hamna noma wala nini..

... kuhusu huo wimbo wa I Wish ulio utaja hapo juu nao naupenda sana.. lakini miye naona ungelileta maana kweli kama hizi wishes za watu zingelikuwa zinatimilika... maana wishes nyingine bana, wee acha tu, zinabakia kuwa hivyo... hata avatar hazi ambulii, sembuse...

Hivi Kisura, huo wimbo umeusikia muda gani leo? miye huo wa Vybe nimeusikia asubuhi kabla ya breaking news kuhusu ndugu Balali kuwekwa hapa JF, lakini baada ya kuusikia tu, umenikaa kichwani si mchezo, labda nina kismati fulani hivi.. sijui na huwezi jua... maana yalijiri leo yanazidi kuwa mapana kwa kasi kubwa hapa JF na kwingineko... hata hivyo tatizo ni moja, mamabo haya yanakuwa mapana kutokana na response za wenginewo... we ngoja nivute subira... labda..

SteveD.
 
Lakini R.Kelly naye amezidi maskendo bwana....kila kukicha hili, lile... noma tupu..hadhi yake kimziki inakuwa tarnished na upuuzi katika maisha yake.... noma kweli..
 
Ngabu, ndiyo huo umeamka nao..daah, poa sana mazee... kama hutajali mimi kukuuliza, kuhusu wale wawili ulio gundua wana 'onana' unajisikia vipi ukisikia wimbo kama huo?...
 
Lakini R.Kelly naye amezidi maskendo bwana....kila kukicha hili, lile... noma tupu..hadhi yake kimziki inakuwa tarnished na upuuzi katika maisha yake.... noma kweli..

...Jana tu, or was it this morning nimesikia amekuwa issued a warrant, maana hakutokea mahakamani alipokuwa anahitajika jana. Kesi yake imepangwa kusomwa tena 2008, kwa makosa kama 14 ya "child pornography".

He is talented when comes to music...ila tunaishia hapohapo!
 
Ngabu, ndiyo huo umeamka nao..daah, poa sana mazee... kama hutajali mimi kukuuliza, kuhusu wale wawili ulio gundua wana 'onana' unajisikia vipi ukisikia wimbo kama huo?...

I'm not sure I understand your question...
But I really like this song...I plan to open the dance with it "whenever" I get married
 
Ngabu, ndiyo huo umeamka nao..daah, poa sana mazee... kama hutajali mimi kukuuliza, kuhusu wale wawili ulio gundua wana 'onana' unajisikia vipi ukisikia wimbo kama huo?...

Oh wait a minute...u talkin bout "my girl gotta girlfriend"...ahahahahahaha.....thats whats up

I'll make em do what it do
 
What is happening to Michael Jackson? Ndio imeshatoka hiyo?
 
Jamani Kci & Jojo wameishia wapi? Last I heard walikuwa wanatafutwa na IRS....he he eh! I love their music, Kci is good...
 
Music-wise ndio imeshatoka hiyo...

Unajua nini Ngabu, pesa iliyopo kwenye black music na entertainment kwa ujumla ingelikuwa kwa wenzetu... na wakawa na matatizo kwenye bara-mama lao kama jinsi siye tulivyo, nadhani ingelitumika ipasavyo kuendeleza bara-mama lao... tatizo, kuanzia wakina Michael J, akina Tyson.. na msululu mrefu unaofata, mambo yao ndiyo kama yale yule mpuuzi mmoja alisema kule kwenye mamabo ya genes!

ni vigumu kukubali ukweli, lakini ukiona vitu kama hivi na facts mbalimbali zinazo surround haya mambo, inabidi tu mtu uamini, kuwa tuko kama tumelaaniwa kama si kulaaniwa!
 
True dat partner. Tatizo hawataki kuwa-identified na Motherland. Ni kama wanaona aibu vile au sijui ni nini tu. All I can say is brainwashing has really worked. The amount of money I see here in Black Hollywood (ATL) is jaw-dropping and most of it spent on some very worthless causes.
 
Jamani nawaomba pia muifagile miziki ya nyumbani. Mimi binafsi muziki wa mchinga generation chini ya ali Hachoki uitwao mwaka wa shida umenikaa kichwani.
 
Back
Top Bottom