Wimbo 'FURAHA' Young Dee ni Dedication kwa Kifo cha Baba yake Dogo Janja??

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,207
Kama Ni kweli basi Huyu jamaa bado sumu Ya cocaine haijamuisha Kichwani mwake,
Kwakweli Hizi kiki zinawapeleka pabaya wasanii wetu,
Manake kila kitu kinageuzwa fursa hatakama hakistahili.
Max ni mtu smart sana upstair na nashindwa kuelewa kwanini anamuachia dogo afanye vitu vya ovyo namna hii.
aargh
 
Kwani Dogo Janja na Young Dee wana ugomvi?
Sina kumbukumbu nzuri lakini nadhani walikwaruzana kwenye ishu ya Chid beenz kupelekwa Sobber na WCB if Am not mistaken,
but mimi nnachohisi labda huenda wakawa hawana beef lakini Young D ameamua tu kutafuta atention kutoka kwa audience kupitia Msiba
 
Back
Top Bottom