Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
. New video "DEAR MAMA", watch my New 3rd video song for "DEAR MAMA" LIKE IT, SHARE IT, SUBSCRIBE IT & COMMENT FOR IT if you Love your Mama.
Don kama don. Huo umerekodia dar au Mwanza?
Maana umetuaga juzi tu na wimbo hewani
. New video "DEAR MAMA", watch my New 3rd video song for "DEAR MAMA" LIKE IT, SHARE IT, SUBSCRIBE IT & COMMENT FOR IT if you Love your Mama.
Duu producer ni nan
🤔We jamaa mi sikuelewagi kabisa. . Kila nikijitahidi Naona bila bila.
safi sana Don. Nazikubali sana harakati zako
Mwaka Huu usipobeba Grammy lazima niandamane.
Pamoja Don sema natumia subtitle ya YouTube, inagoma kwenye pronunciation ya words zako nadhan accent ipo tribed zaidAudio no HPO , video ni M8 vision na O'clock Music Press ya Don Nalimison
Msanii wa kimataifa umejizungushia earphones shingoni
Mkuu mbona wasanii wakubwa wanaweka headphones kichwani , yeye kaamua kuja kivingine.Msanii wa kimataifa umejizungushia earphones shingoni
Pamoja Don sema natumia subtitle ya YouTube, inagoma kwenye pronunciation ya words zako nadhan accent ipo tribed zaid
Mkuu mbona wasanii wakubwa wanaweka headphones kichwani , yeye kaamua kuja kivingine.
Huo ni ubunifu.