Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
Pesa ya kununua ARV tu hatuna halafu mnaleta ngonjera zenu za kipumbavu.
Mwambieni Magufuli hizi siasa zake zitatuumiza sis wananchi wa kawaida tu maana yeye na watu wake hawana shida watatukamua ili waendelee kuishi vizuri. Hizi siasa za Jiwe kama zingekuwa na manufaa kwa taifa basi Zimbabwe ya Mugabe ingekuwa mbali, Mwalimu Nyerere mwenyewe zilimshinda akamuachia Mwinyi abadilishe upepo.
Hizi ni sawa akili za watoto/vijina wanaotukana walezi wao kabla hawajaweza kujitegemea mwisho wanaishia kuwa machokoraaa.
Una akili nyingi mno kufafanua jambo kubwa ukaeleweka kwa sentensi moja tuNafikiri mpumbavu ni wewe.
Misaada ya kupewa ARVs, huwa inainua uchumi?
Ulishawahi kuona wafadhali wakitoa hela Kwenye miradi ya kutuletea hela ili kukuza uchumi?
Watafadhili ukimwi,Ebola,corona, maji,vilainishi ili mfirane vizuri,watoto wa kike kutiwa mimba nk.
Nafikiri mpumbavu ni wewe.
Misaada ya kupewa ARVs, huwa inainua uchumi?
Ulishawahi kuona wafadhali wakitoa hela Kwenye miradi ya kutuletea hela ili kukuza uchumi?
Watafadhili ukimwi,Ebola,corona, maji,vilainishi ili mfirane vizuri,watoto wa kike kutiwa mimba nk.
Hapa umejiona wa maana kwa kukomenti ujinga. Hao mnaowaita wadau wa maendeleo toka NORAD ni Waha?Nafikiri mpumbavu ni wewe.
Misaada ya kupewa ARVs, huwa inainua uchumi?
Ulishawahi kuona wafadhali wakitoa hela Kwenye miradi ya kutuletea hela ili kukuza uchumi?
Watafadhili ukimwi,Ebola,corona, maji,vilainishi ili mfirane vizuri,watoto wa kike kutiwa mimba nk.
Amina🙏LK. 21:6 SUV
Haya mnayoyatazama, siku zitakuja ambapo halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa
Acha ushabiki mandazi kwa vitu isivyovijua usikariri vitu kwa sababu tu hukusoma kuna wakati fikirisha ubongo wako, jiongeze kidogoNafikiri mpumbavu ni wewe.