Wimbo anaotakiwa Rais Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo

Tiss wanamhujumu tz1 sema hajashtukia tu...haiwezekani nchi inajua kuna hela za wahisani zenye mashati na vigezo maalum ili watoe hela - wao wakwapue kura kwenye majimbo yote bila kujali madhara yajayo. Halafu sasa ndio wanafoji sahihi na nyaraka kuziba mapengo kwa kulazimisha mchana kweupe wakifikiri wahisani watawaelewa.?!!!!like seriously ?

Hizi ni hujuma za wazi kabisa juu ya mamlaka mkuu.

God bless the dead !
 
Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo

Pesa ya kununua ARV tu hatuna halafu mnaleta ngonjera zenu za kipumbavu.

Mwambieni Magufuli hizi siasa zake zitatuumiza sis wananchi wa kawaida tu maana yeye na watu wake hawana shida watatukamua ili waendelee kuishi vizuri. Hizi siasa za Jiwe kama zingekuwa na manufaa kwa taifa basi Zimbabwe ya Mugabe ingekuwa mbali, Mwalimu Nyerere mwenyewe zilimshinda akamuachia Mwinyi abadilishe upepo.

Hizi ni sawa akili za watoto/vijina wanaotukana walezi wao kabla hawajaweza kujitegemea mwisho wanaishia kuwa machokoraaa.
 
Nafikiri mpumbavu ni wewe.

Misaada ya kupewa ARVs, huwa inainua uchumi?
Ulishawahi kuona wafadhali wakitoa hela Kwenye miradi ya kutuletea hela ili kukuza uchumi?

Watafadhili ukimwi,Ebola,corona, maji,vilainishi ili mfirane vizuri,watoto wa kike kutiwa mimba nk.
 
Una akili nyingi mno kufafanua jambo kubwa ukaeleweka kwa sentensi moja tu
 
Nafikiri mpumbavu ni wewe.

Misaada ya kupewa ARVs, huwa inainua uchumi?
Ulishawahi kuona wafadhali wakitoa hela Kwenye miradi ya kutuletea hela ili kukuza uchumi?

Watafadhili ukimwi,Ebola,corona, maji,vilainishi ili mfirane vizuri,watoto wa kike kutiwa mimba nk.

Wewe kichwa maji huo nimetolea mfano tu kama tunashindwa hata kununua ARV hizi ngojera zetu ni za kipumbavu tu.

Bajeti yetu inategemea pesa za mabeberu,juzi hapa mabeberu wa Marekani wamefichua siri kwamba pesa za elimu bure wanatoa wao. Na zile pesa REA zinatoka wapi? Na hizi barabara zenye mabango za kwa hisani ya pesa za walipa kodi wa Maekani/Japani/Uk nazo huzioni?

Hizi siasa za Magufuli zingekuwa zinasaidia zingemsaidia Mugabe. Hata kwenye maisha yetu ya kila siku huku mtaani mwenye kibri ambaye hajaweza kujitegemea uishia kuwa Chokoraaa tu. Tujifunze.
 
Nafikiri mpumbavu ni wewe.

Misaada ya kupewa ARVs, huwa inainua uchumi?
Ulishawahi kuona wafadhali wakitoa hela Kwenye miradi ya kutuletea hela ili kukuza uchumi?

Watafadhili ukimwi,Ebola,corona, maji,vilainishi ili mfirane vizuri,watoto wa kike kutiwa mimba nk.
Hapa umejiona wa maana kwa kukomenti ujinga. Hao mnaowaita wadau wa maendeleo toka NORAD ni Waha?
 
Nafikiri mpumbavu ni wewe.

Misaada ya kupewa ARVs, huwa inainua uchumi?
Ulishawahi kuona wafadhali wakitoa hela Kwenye miradi ya kutuletea hela ili kukuza uchumi?

Watafadhili ukimwi,Ebola,corona, maji,vilainishi ili mfirane vizuri,watoto wa kike kutiwa mimba nk.
Acha ushabiki mandazi kwa vitu isivyovijua usikariri vitu kwa sababu tu hukusoma kuna wakati fikirisha ubongo wako, jiongeze kidogo

Hoja yako inadhihirisha umbumbu wa kichwa chako umekaliwa na mapenzi ya kizebe kabisa kwa CCM
JamiiForums784649547.jpg
 
Nimetokea kuwachukua mashabiki wa CDM naona kama hawajielewi hee mwenyezimungu anisaidie
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom