haaaah acha hizo unao buana sikiliza tu moyoni mwako, hata sisi hatujasikiliza wa mtuHuo wimbo mbona sijauona ?
Aisee huu wimbo unasikitisha sana
WAPI HIYO WIMBO?Zimekua zikiongoza kwa kuua watu wengi kwa wakati mmoja
Sikia huu wimbo jamaa alivyoimba kwa hisia kumuimbia rafiki yake aliekufa Kwa ajali huko morogoro