Wimbi la Watanzani Kuongea pekee yao barabarani linakuwa kwa kasi

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,804
12,239
Japo kuongea pekee sio kubaya ila ukizidisha sana unaonekana kama ni mtu mwenye matatizo na msongo mwingi wa mawazo.

Hali hii nimekutana nayo sana kwenye maeneo mengi ya watu hasa kipindi hiki unakutana na watu ni 'very smart' wanaongea peke yao tena hadi kwa ishara ya mikono.


Hii hali inatisha si ya kawaida.
 
Sembe 1500 kg,Na bado.
Iweke ccm adui no 1 kuelekea 2020 huku mkiungana kudai tume huru
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom