Wimbi la wanawake kujichubua imekuwa kero na karaha

Wanapewa maneno matamu kama haya ya kuhamasishana

IMG_8234.jpg
 
tumia brembo ni kipodoz cha asili kabisa kisicho na chemical na kinasaidia sana ngozi kurud katika hali ya kawaida ,pia kwa ushaur na tiba ya ngozi njoo inbox
 
Aseh hv ulishawai kutana na mwanamke usiku ile rangi yake ya weupe ikakuvutia ilee paaap unakutana nae asubuh huamin macho yako vidole vyeusiiiiiiii yan anatisha vidole vya mikononi mpk miguuni!!??

Wanawake wengi wanaamini uzur wa mwanamke ni weupe lakini sio kwel hasa kwa mkoa wa dar es salaam aseh ni balaaa yan katika wanawake 10 bhas 9 wanajichubua

Naona siku iz mpk kuna wanaume nao wanajicream wanalilia weupe hii noma san
Mimi kinachonikera tu kuona demu ana ndevu kama Osama Bin Laden, yaani hapo hata niwe na nyege kiasi gani simsemeshi huyo demu. Kuna kademu flani ka Bongo muvi (Irene Paul), kajiharibu ile mbaya kwa kujichubua, yaani anaonekana kama kikongwe cha miaka 80 hivi alivyokongorojoka.....hivi wanawak mna matatizo gani ya akili lakini, nani aloyewadanganya kujichubua ndiyo uzuri?
 
Back
Top Bottom