Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,447
- 78,615
Malipo ni $ 1000 au $ 100?Ukifikisha watch hours 4000 na subscribers 1000 unaweza kurequest monetization, ukikubaliwa utaanza kulipwa
Kiwango cha ulipwaji kitategemea na watazamaji wako wanatoka nchi gani
Mfano unaweza ingiza wastani wa dollar 0.8 - 3 kwa views 1000,
Malipo ukifikisha 1000 usd