Wimbi la vijana kutengeneza video na kutuma YouTube

Ukifikisha watch hours 4000 na subscribers 1000 unaweza kurequest monetization, ukikubaliwa utaanza kulipwa

Kiwango cha ulipwaji kitategemea na watazamaji wako wanatoka nchi gani

Mfano unaweza ingiza wastani wa dollar 0.8 - 3 kwa views 1000,

Malipo ukifikisha 1000 usd
Malipo ni $ 1000 au $ 100?
 
Wanalipaa boss ,ukifikia kiwango cha subscriber fulani. Kama sijakosea

ila kuhusu malipoo yake sifahamuu vzuri..ila kufungua youtube account napo kuna amount unalipia kufungua

That's what I know ,Mr.
Kufungua youtube account kuna amount unalipia? mkuu nani alikuchapa kiasi hicho?

1.Ili kuwa na youtube account inahitajika google account pekee (email yako ya google pekee , ile ambayo umfungukis playtore).

2.Ili kutengeneza account utakayokuwa unalipwa kwa kila tangazao youtube itakayokuwekea , endapo umekidhi vigezo (refer watching hours na viewers ,pia subscriber) inakubidi tena uwe na google adsence account ambayo uta i link na youtube account yako.

3.Vyoote hivyo ni muda wako pamoja na bando lako pekee.
 
Hujamuelewa vizuri boss, Anamaanisha kuwa youtube wanalipa yaana wanalipa watu siyo watu wanalipia kupata huduma ya youtubu.
 
Kugeuza videos youtube zikakulipa siyo rahisi sana ndiyo maana ukifuatilia content zao nyingi za kibwege na title za video ni za ajabu ili kuvutiwa watu (inaonekana waatu tunapenda mambo ya kijinga).

Ili uwe na uhakika wa Youtube kukulipa pesa ya maana walau uwe na subscribers hata laki moja ili uwe na hakika ya kupata views za kutosha ukiupload videos, kitu ambacho wengi hawana. Unakuta Youtube inalipa kuanzia dollar 3 mpaka 12 kwa kila views 1000 na hii inategemea mambo mengi. Mfano mtazamaji anatokea nchi gani, content ya video ni ipi, je mtazamaji amelitazama tangazo na kuliponyeza, na mambo mengine mengi.

Watu kama Millardayo wanapata pesa wasababu wanza na awatazamaji wengi kidogo, lakini pia unakuta video zake ameweka matangazo kama ya vodacom, sijui maziwa, ikiwa na maana hata asipopata viewers wengi anapata pesa diret kutoka kwa hayo makampuni kitu ambacho kwa vijana weng hakipo.

Naona wenzetu wa mbele wenye viewers zaidi ya milion kama Thoughty2 unakuta kwa wiki ana upload hata videos tatu amabzo siyo chini ya dakika 15, na anaongea vitu viko deep. Within hours unakuta na views hata 100,000. MKBHD, anaingiza mkwanja mrefu kwa sababu ya content zake na ana subscribers wa kutosha na matangazo pia.
Hahaha Marques Brownlee the best reviewer ever .

Sidhani kama kuna mtu anamkuta huyu jamaa kwenye ku review vifaa , atakavyokipa sifa ndivyo hivyo hivyo kilivyo .

Na akikiponda pia usijifanye kihere here ukachukua hicho kifaaa utalia.
 
Kweli kabisa. Kuna wengine wanalipwa dollar 1500. Mtu Kama millard Ayo na geah habib watakuwa wanalipwa zaidi ya hizo. Wanamuziki hela wanapatia kwenye streams, naskia mtu Kama diamond ama Ally kiba wanakunja Hadi 1billion
Kuna watu wanasahau sana sector ya websites , web nazo zinalipa sana huku online, ukizipatia vizuri.. ukikomaa nayo ikatoboa.. watu wanapiga 1500 to 2000 $ monthly
 
Kuna watu wanasahau sana sector ya websites , web nazo zinalipa sana huku online, ukizipatia vizuri.. ukikomaa nayo ikatoboa.. watu wanapiga 1500 to 2000 $ monthly
Hiyo inakuwaje mkuu, sikuwahi kujua. Tufafanulie mkuu
 
Sijaelewa kidogo apo mwishoni,malipo ukifikisha used 1000.kwa maana ukipata usd 200 haupewi mpaka ujazie iwe 1000???
Ukifikisha watch hours 4000 na subscribers 1000 unaweza kurequest monetization, ukikubaliwa utaanza kulipwa

Kiwango cha ulipwaji kitategemea na watazamaji wako wanatoka nchi gani

Mfano unaweza ingiza wastani wa dollar 0.8 - 3 kwa views 1000,

Malipo ukifikisha 1000 usd
 
Hamna amount unalipia. Kufungua account ni bure kama unatumia android na unaingiaga youtube kwa ile app yao basi automatically umeshafungua account youtube.

Kama unaingia kwa desktop/browser/iOs na ukalog in youtube kwa google email zako basi umeshafungua account youtube na unaweza kupost chochote.

ili uanze kulipwa inabidi uwe na
1. Subscriber 1000+
2. Masaa zaidi ya 4000 yaliyotazamwa kwenye account yako ndani ya miezi 12
3. Linked Adsense account
4. Ufuate Vigezo na masharti
Mkuu hakuna tofauti kati ya you tube channel na you tube account? Naomba unifafanunulie tafadhali.
 
Kumekuwa na vijana wengi kurecord video

Kilichonishangaza ni uandaaji wa video zenyewe inaonekana hakuna maandalizi ya kutosha. Wengi wanadai ni hivyo hivyo zinalipa huko YouTube.

Kama kuna mjuzi aniambie ni kweli video za fasta fasta zinasoko kweli uko YouTube.
Ajira hakuna uchumi wa kati ndio huu, pesa imekua ngumu, vijana hawana cha kufanya
 
Kugeuza videos youtube zikakulipa siyo rahisi sana ndiyo maana ukifuatilia content zao nyingi za kibwege na title za video ni za ajabu ili kuvutiwa watu (inaonekana waatu tunapenda mambo ya kijinga).

Ili uwe na uhakika wa Youtube kukulipa pesa ya maana walau uwe na subscribers hata laki moja ili uwe na hakika ya kupata views za kutosha ukiupload videos, kitu ambacho wengi hawana. Unakuta Youtube inalipa kuanzia dollar 3 mpaka 12 kwa kila views 1000 na hii inategemea mambo mengi. Mfano mtazamaji anatokea nchi gani, content ya video ni ipi, je mtazamaji amelitazama tangazo na kuliponyeza, na mambo mengine mengi.

Watu kama Millardayo wanapata pesa wasababu wanza na awatazamaji wengi kidogo, lakini pia unakuta video zake ameweka matangazo kama ya vodacom, sijui maziwa, ikiwa na maana hata asipopata viewers wengi anapata pesa diret kutoka kwa hayo makampuni kitu ambacho kwa vijana weng hakipo.

Naona wenzetu wa mbele wenye viewers zaidi ya milion kama Thoughty2 unakuta kwa wiki ana upload hata videos tatu amabzo siyo chini ya dakika 15, na anaongea vitu viko deep. Within hours unakuta na views hata 100,000. MKBHD, anaingiza mkwanja mrefu kwa sababu ya content zake na ana subscribers wa kutosha na matangazo pia.
Ni kweli mkuu challenge ya youtubers wengi hata kama wamekidhi vigezo na masharti (sub 1000 na watching hours 4000) adsense wana-angalia pia video zako kama zinafaa kwa matangazo utasota mwaka mzima kutimiza vigezo ukikimbilia matangazo kama sehemu ya kupata mpunga kwa haraka lakini mambo yamekua ndivyo sivyo...

ushauri wangu kwa youtubers wa toturial za smartphone & kompyuta hapa itabidi uwategemee watazamaji zaidi kuliko adsense fungua account ya mitandao ya kijamii facebook, instagram tiktok & twitter kama sehemu ya kutangaza contents zako ikibidi kuwa msumbufu share link ya channel hata kwenye message ya kawaida na magroup ya WhatsApp...

kazi ya youtube ni ngumu lakini ukijituma kwa uvumilivu ukiwa na moyo wa subira utafika mbali sana...
 
Back
Top Bottom