lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,162
- 2,638
Kazi iendelee. Inashangaza kusikia mtu kama B12 kuacha kazi Clouds FM, kweli binafsi nilishangaa sana maana ulisikia B12 Clouds inaclick kichwani, Diva Clouds, kuna kina Lilian Mwasha nasikia na Komando Kipensi Casto Dickson naye kaondoka au wameondoka sababu uvuli wa jasiri muongoza njia the mastermind Ruge hayuko?
Kuna na huyu babie kabae Clouds 360 haonekani haieleweki, Musa wa Leo tena hayuko alishaondoka dohhhh maisha haya. Jozeee angalia wasiishe ila joyze anaonekana peacefully hata kina diva wanamsifia pengine jini mkata kamba tu kapita