Wimbi la Kaskazini: Mwanza, Shinyanga, Mara, Arusha, Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbi la Kaskazini: Mwanza, Shinyanga, Mara, Arusha, Kilimanjaro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 5, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,810
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Ninaliita wimbi la ukombozi. Wimbi litakaloleta uhuru wa kweli Tanzania kutoka kwa ukoloni mambo-leo unaoongozwa na wakoloni weusi a.k.a. mafisadi, walafi, wezi, ma$%^&***(!!!

  Bravo Chadema!!!
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,316
  Likes Received: 5,040
  Trophy Points: 280
  mbona Mbeya na Dar umezisahau
   
 3. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 135
  Yep! Ongeza Mbeya na Dar. Maeneo haya naweza kusema ni ngome kuu ya mabadiliko kwa ushawishi wake economically, politically, strategically and socially. Dar ndio center ya Tz hivyo strategically it make sense kwa mabadiliko tunayoyatarajia. Kaskazini kuna utalii na madini, Mwanza na Shinyanga uwingi wa watu na madini hivyo hii pia ina-fit economically. Mara ni watu wa msimamo hivyo ni kama pilot area how other areas should proceed towards change. Mbeya its a strong political area since siasa za mbeya ni kivutio kwa mikoa mingine ya Tanzania. Kuna strategic areas kama tatu zilizobakia then we can realize a true change.This will happen soon as all sign of change are clearly visible. Then this will be the end of our horrible nightmare.
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Chadema nguvu ya umma na tegemeo la wananchi kwa ukombozi wa kweli.
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ninachokiona ni mikoa ileile ambayo imekuwa kwenye uongozi tangu uhuru na hamna chochote walichofanya zaidi ya kutuibia tu.
   
Loading...