Willy Nyamwite na Salva Rweyemamu wetu!

Adolf Mark

Member
Nov 4, 2011
50
26
Umofia kwenu, wanajamvi leo kwenye kipindi cha maoni kwenye meza ya duara kutoka redio DW nimemsikia Willy Nyamwite, ambaye ni msemaji wa Pierre Nkuruzinza, kwa waliomsikiliza watakubaliana na mimi kuwa jamaa ameumbuka sana kwa kutetea udikteta wa bosi wake, nikamkumbuka huyu wa kwetu Salva Rweyemamu namna anavyokomaaga kutetea mambo ya ovyo ovyo kweli washauri wa marais afrika tabu tupu ni walamba michuzi tu!
 
Akiwa gazeti la RAI alitumika kumchafua dr. Salim sasa mwisho wake umefika,Magufuli akipita ni yeye na Buholela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom