Willy Muga is no more!!!!!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,627
154,988
Taarifa nilizozipata hivi punde zinasema Wilfred Muga Katibu wa CCM vijana Musoma Mjini ameuawa na majambazi leo asubuhi kwa kupigwa risasi akiwa njiani kutoka Kigoma Kuelekea Mwanza.
Mwenye taarifa za kina naomba atusaidie. Nlichosikia kuwa kuna watu wengine wawili pia wameuawa kwenye tukio hilo
 
Kwa mujibu wa Radio One wamesema ni mtu mmoja tu aliyeuawa katika tukio hilo. Wengine huenda wakawa wamejeruhiwa tu
 
Kuna Member alileta taarifa asubuhi hapa kuwa basi lililokuwa mbele yao limetekwa na majambazi huko Kibondo na akawa anaomba msaada wa members kupiga simu kwa Polisi wa mjini Kigoma kuomba msaada, sijui ndio basi hilo??
 
Asubuhi hapa jamvini kulikua na member mmoja alikuwa akiomba tumpatie namba za polisi kwa madai kuwa kuna majambazi yamevamia mabasi hukoooo kigoma, some wakamcheka na kumdhihaki, sie wengine tukatoa namba kadiri tulivyoweza, baada ya muda aliripoti kuwa yeye alikuwa amepanda Sumry na kwamba wamefanikiwa kukimbia kwa kurudi nyuma toka eneo la tukio na kwamba wamesikia milio ya risasi so this is muendelezo wa kile kilichoanza kuripotiwa,

Poleni wooote
 
Very sad story...
next time tusipuuze vilio vya wenzetu, vyaweza kutukumba sisi pia
Asubuhi hapa jamvini kulikua na member mmoja alikuwa akiomba tumpatie namba za polisi kwa madai kuwa kuna majambazi yamevamia mabasi hukoooo kigoma, some wakamcheka na kumdhihaki, sie wengine tukatoa namba kadiri tulivyoweza, baada ya muda aliripoti kuwa yeye alikuwa amepanda Sumry na kwamba wamefanikiwa kukimbia kwa kurudi nyuma toka eneo la tukio na kwamba wamesikia milio ya risasi so this is muendelezo wa kile kilichoanza kuripotiwa,

Poleni wooote
 
Yaaaa ni true story. Basi limetekwa na majambazi. Kuna mtu mmoja amepigwa risasi; amefariki. Basi lilikuwa linatoka kigoma kuelekea mkoa mmoja wa huko kanda ya ziwa.
 
Very sad story... next time tusipuuze vilio vya wenzetu, vyaweza kutukumba sisi pia
Nilifurahi sana nilipoona hatimaye jf imeanza kutumika kutolea taarifa za emergence lakini ajabu kuna watu walidhihaki. Aluta continua jf
 
Sikufurahishwa na kitendo cha mdau mmoja kusema kuwa, member yule alikua mgeni so anaogopa kumsaidia kupeleka taarifa polisi ili isje onekana uongo then yeye akashushiwa hadhi, but huyu jamaaa alikua anaripoti toka eneo la tukio na alikua akituomba msaada, next time, tusiangalie kama ni uongo au ukweli let us help/assist then mambo ya uongo na ukweli yaje baadae, pengine baadhi yetu waliiosoma ile post mapema wangeweza kuasiliana na polisi mapema tungeweza kuokoa baadi ya mali na hata maisha hayo, pengine....
 
Kwa info nilizozipata saa 8 mchana ni kuwa waliokufa ni watu 4, na kiasi ya 20 wamejeruhiwa kwa risasi na wengine mgongano wa taharuki ya shambulizi walikibizwa Kibondo hospital. Basi lililovamiwa ni maarufu kama mabasi ya MCHINA.

Mwenyezimungu awape pumziko la amani marehemu, na majeruhi wapate afua njema
 
Sikufurahishwa na kitendo cha mdau mmoja kusema kuwa, member yule alikua mgeni so anaogopa kumsaidia kupeleka taarifa polisi ili isje onekana uongo then yeye akashushiwa hadhi, but huyu jamaaa alikua anaripoti toka eneo la tukio na alikua akituomba msaada, next time, tusiangalie kama ni uongo au ukweli let us help/assist then mambo ya uongo na ukweli yaje baadae, pengine baadhi yetu waliiosoma ile post mapema wangeweza kuasiliana na polisi mapema tungeweza kuokoa baadi ya mali na hata maisha hayo, pengine....

Tatizo letu tunajifanya tunajua ku-analyse mambo mpaka tunapitiliza, kisa ni ma-great thinker. Ni vema kuwa skeptical lakini sio kwenye mambo ya dharura.
 
habari iliyotangazwa saa mbili na ITV inasema majeruhi wapo 20 na hali zao ni mbaya kutokana na majeraha ya risasi, na aliyekufa ni mtu mmoja....tuzidi kuwaombea majeruhi wapone haraka
 
farewell, brother. This is to say JF membership is spread all over the country and it is an instant great midium. Let us act on any emergent call for assistance. Let's save lives
 
Pole sana wote walioathirika na msiba huu, na majeruhi mungu awasaidie wapone haraka, na hao mashetani wanaoleta ujambazi walaaniwe , wapuuzi sana na hawafai katika jamii ya aina yoyote
 
Back
Top Bottom