Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,627
Mimi nilisoma kile kilichoitwa Kufa na Kupona, teke linachomoa tofari aka farasi teke
Njama nimekiona jana....mwenge pale karibu na Nakiete.....nitakirudia nimechukua kimoja cha Allan Quarterman..
Mtaa gani
Poa
Bila kuwasahau Masta Giro na Inspector Malifedha, nami inanikumbusha mbali sana nikiwa shule ya msingi darasa la nne, Asante uliyepost hii inaonesha ulivyo tofauti na hawa kizazi kipya ambao hawaoni haya kusoma magazeti ya udaku kama Fukuto nk.Halafu wanamsingizia eti alidesa riwaya za James Hadley Chase na Agatha Christie!
Kaizer, sina uhakika kama bado kuna mtu anaweza kuvichapisha sasa hivi, si utaambiwa uchochezi.Bring it on! Wow imenikumbusha mbali sana......SAD kwamba kwa sababy ya mambo ya copyright vitabu vyake havichapishwi tena (au kuna mkono wa sirika;li wajameni?)
Update ni kwamba huko Kenya kuna wadau wameona fursa wanachapishia huko na kuviingiza kwa siri humu....nilshamwonaga chinga mmoja....sad!Kaizer, sina uhakika kama bado kuna mtu anaweza kuvichapisha sasa hivi, si utaambiwa uchochezi.
Mambo vipi kiongozi.NJAMASURA YA TISAMAPAMBANO NA VIBARAKAIlikuwa saa kumi na mbili na nusu za asubuhi wakati nilipokuwa nakaribia kumaliza kunyoa ndevu. Nilikiangakia kidevu changu kwenye kioo nikaona nilikuwa sijajinyoa vizuri. Kila wakati nilipokuwa na mawazo mengi kitu kama hiki kilikuwa kinanitokea . Lakini hata hivyo nia yangu nionekane nadhifu hivyo nilichukua tena mashine ya ndevu na kuanza kujinyoa.
Hebu mkuu angalia kwenye hii blog :Mambo vipi kiongozi.
Naweza kupata softcopy za riwaya za kijasusi za Willy Gamba zilizoandikwa na Musiba?
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁😁, Si wewe tu hata Mimi niliamini ni kweli🏃🏃Mimi nilikuwa nikisoma kitabu cha Willy Gamba nilijua ni ukweli na niliamini kuhusu story ya Maganzo!!Na hile story ya Njama kuingiza siraha nikajua ni kweli kumbe jamaa ni jinsi alivyokuwa anatunga na kuamini kuwa nikweli!!
1. Kufa na Kupona (Kenya)
2. Kikosi cha Kisasi (Zaire)
3. Njama (Dar)
4. Kikomo (Mwanza/Shinyanga)
5. Hofu (Arusha)
A. E . Musiba alikuwa jembe.