Willium Lukuvi bungeni ageuka Mesut Özil

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
William Lukuvi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia Sera, Uratibu na Bunge. Kwa jina jingine ni "Chief Whip"

Hii nafasi ni muhimu sana hassa kwa chama kinachotawala, kazi kubwa kuwaweka sawa wabunge wa CCM waiunge mkono serikali na kuzi counter hoja,grenades and strategies kutoka kambi ya upinzani. Kwa upande wa chadema "chief whip" ni Tundu Antipas Lissu mwanasheria kajanja kajanja.

Kilichonisababisha nimzungumzie Lukuvi ni kutokana na uwezo anaouonyesha haswa kwenye kutoa "assist" kwa CCM katika kupangua hoja zozote zinazotoka chadema na kwa wakati fulani amesababisha hata wabunge wa chadema kuonekana vituko bungeni.

Huyu Lukuvi rafiki yake mkubwa ni AG Werema, na kiprotokali wakati wote huketi pamoja bungeni, na kwa muda wote wanakuwa wanabadilishana mawazo.

Kuhusu hii hoja ya walioficha mabilioni ya fedha Uswis, Lukuvi alijua wazi kuwa hali ilivyo ni kwamba tayari imeundwa tume ya kushughulikia hilo swala, na pengine ikaiporomosha CCM in case hawatamdhibiti mwanasiasa makini Zitto Zuber Kabwe Ndinga.

Akagundua hali ilivyo ndani ya chadema, wakatumia risasi moja tuu "kumpiga Zitto" akijua kwa vyovyote wataiclear hoja na mjadala utahama, na kweli kwa siku ya jana tuu wanachadema wameungana na serikali kupambana na Zitto Kabwe.

Mimi ninaamini Willium Lukuvi ni mbunge makini sana yoyote yanayotokea awe amesema waziri mkuu, AG, au mbunge yoyote wa CCM lazma ayapitie kwanza na atoe "assist" kama vile Ozil (mchezaji kiungo/midfilder wa Arsenal anaesifika kwa kutoa Goal Assist)
 
Wiki nzima iliyopita na mwanzoni mwa wiki hii, ulikuwa kwa Zitto. Jana Lukuvi na Werema wamemshambulia Zitto, leo umehamia kwa Lukuvi. Kijana, usiyumbishwe na jina la mtu mmoja mmoja, watu wanabadilika kila siku. Angalia misimamo ya kitaasisi, walau yenyewe huwa haibadiliki mara kwa mara!

CTRL + Q to Enable/Disable GoPhoto.it
 
... na kweli kwa siku ya jana tuu wanachadema wameungana na serikali kupambana na Zitto Kabwe....
Kuna tamko lolote kutoka CHADEMA Makao Makuu kuhusu kuunga mkono hoja ya Lukuvi/Werema dhidi ya ZZK?
 
William Lukuvi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia Sera, Uratibu na Bunge. Kwa jina jingine ni "Chief Whip"

Hii nafasi ni muhimu sana hassa kwa chama kinachotawala, kazi kubwa kuwaweka sawa wabunge wa CCM waiunge mkono serikali na kuzi counter hoja,grenades and strategies kutoka kambi ya upinzani. Kwa upande wa chadema "chief whip" ni Tundu Antipas Lissu mwanasheria kajanja kajanja.

Kilichonisababisha nimzungumzie Lukuvi ni kutokana na uwezo anaouonyesha haswa kwenye kutoa "assist" kwa CCM katika kupangua hoja zozote zinazotoka chadema na kwa wakati fulani amesababisha hata wabunge wa chadema kuonekana vituko bungeni.

Huyu Lukuvi rafiki yake mkubwa ni AG Werema, na kiprotokali wakati wote huketi pamoja bungeni, na kwa muda wote wanakuwa wanabadilishana mawazo.

Kuhusu hii hoja ya walioficha mabilioni ya fedha Uswis, Lukuvi alijua wazi kuwa hali ilivyo ni kwamba tayari imeundwa tume ya kushughulikia hilo swala, na pengine ikaiporomosha CCM in case hawatamdhibiti mwanasiasa makini Zitto Zuber Kabwe Ndinga.

Akagundua hali ilivyo ndani ya chadema, wakatumia risasi moja tuu "kumpiga Zitto" akijua kwa vyovyote wataiclear hoja na mjadala utahama, na kweli kwa siku ya jana tuu wanachadema wameungana na serikali kupambana na Zitto Kabwe.

Mimi ninaamini Willium Lukuvi ni mbunge makini sana yoyote yanayotokea awe amesema waziri mkuu, AG, au mbunge yoyote wa CCM lazma ayapitie kwanza na atoe "assist" kama vile Ozil (mchezaji kiungo/midfilder wa Arsenal anaesifika kwa kutoa Goal Assist)

lukuvi atalaaniwa na elimu yake fake
 
Kwa hiyo Lukuvi anacheza kama Ozil humo Bungeni? Unampa sifa mtu mwongo anayekudanganya wewe na Watz wenzio kwa uongo ulio dhahiri kabisa?
 
Alooooo sasa alipofikia huyu jamaa mleta uzi sijui ni 'promotion' au 'demotion' .......................
 
Hiyo hekaya yako ina mashiko gani kwa Taifa??!! Halafu mnajiita wazalendo mnaopinga uhuni na ubadhirifu??!! Saa Nyingine mnafanya vituko zaidi ya upumbavu!!
 
zitto akanushe kama alisema "iuratus" hana hata jina moja la wenye mabilioni uswiss,asipofanya hivyo kauli ya kilaza werema na kiazi lukuvi itasimama.
 
Tunataka maisha bora usituletee stori za kishoga, ninyi ndo wale wale mnaotuuzia sura za watu nyakati za kampeni badala ya kuangalia uwezo wake.
 
"Vijana, wote wa vyama vyote, siku zote simamieni misingi (principles) na sio kusimamia watu. Watu sio mawe. Mtaja juta. Misingi inadumu. Watu hawadumu. Acheni kuramba miguu ya watu. Simamieni misingi ya chama. Misingi ya nchi yetu. Misingi ya demokrasia. Kataeni kutumika, Tufanye kazi. Kazi tu ndio kipimo cha ukamanda na sio kurambaramba visigino vya watu"....by Zitto Kabwe.
 
Wiki nzima iliyopita na mwanzoni mwa wiki hii, ulikuwa kwa Zitto. Jana Lukuvi na Werema wamemshambulia Zitto, leo umehamia kwa Lukuvi. Kijana, usiyumbishwe na jina la mtu mmoja mmoja, watu wanabadilika kila siku. Angalia misimamo ya kitaasisi, walau yenyewe huwa haibadiliki mara kwa mara!

Bendera hufuata upepo!
 
William Lukuvi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia Sera, Uratibu na Bunge. Kwa jina jingine ni "Chief Whip"

Hii nafasi ni muhimu sana hassa kwa chama kinachotawala, kazi kubwa kuwaweka sawa wabunge wa CCM waiunge mkono serikali na kuzi counter hoja,grenades and strategies kutoka kambi ya upinzani. Kwa upande wa chadema "chief whip" ni Tundu Antipas Lissu mwanasheria kajanja kajanja.

Kilichonisababisha nimzungumzie Lukuvi ni kutokana na uwezo anaouonyesha haswa kwenye kutoa "assist" kwa CCM katika kupangua hoja zozote zinazotoka chadema na kwa wakati fulani amesababisha hata wabunge wa chadema kuonekana vituko bungeni.

Huyu Lukuvi rafiki yake mkubwa ni AG Werema, na kiprotokali wakati wote huketi pamoja bungeni, na kwa muda wote wanakuwa wanabadilishana mawazo.

Kuhusu hii hoja ya walioficha mabilioni ya fedha Uswis, Lukuvi alijua wazi kuwa hali ilivyo ni kwamba tayari imeundwa tume ya kushughulikia hilo swala, na pengine ikaiporomosha CCM in case hawatamdhibiti mwanasiasa makini Zitto Zuber Kabwe Ndinga.

Akagundua hali ilivyo ndani ya chadema, wakatumia risasi moja tuu "kumpiga Zitto" akijua kwa vyovyote wataiclear hoja na mjadala utahama, na kweli kwa siku ya jana tuu wanachadema wameungana na serikali kupambana na Zitto Kabwe.

Mimi ninaamini Willium Lukuvi ni mbunge makini sana yoyote yanayotokea awe amesema waziri mkuu, AG, au mbunge yoyote wa CCM lazma ayapitie kwanza na atoe "assist" kama vile Ozil (mchezaji kiungo/midfilder wa Arsenal anaesifika kwa kutoa Goal Assist)

Mbona kama umekuja kuimba taarabu?
 
Lukuvi haifai kulinganishwa na Mesut Ozil.

Ozil anacheza kwa manufaa ya timu yake Arsenal, lakini sidhani kama Lukuvi anafanya kazi kwa manufaa ya timu yake Tanzania.
 
william lukuvi waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeshuhulikia sera, uratibu na bunge. Kwa jina jingine ni "chief whip"

hii nafasi ni muhimu sana hassa kwa chama kinachotawala, kazi kubwa kuwaweka sawa wabunge wa ccm waiunge mkono serikali na kuzi counter hoja,grenades and strategies kutoka kambi ya upinzani. Kwa upande wa chadema "chief whip" ni tundu antipas lissu mwanasheria kajanja kajanja.

Kilichonisababisha nimzungumzie lukuvi ni kutokana na uwezo anaouonyesha haswa kwenye kutoa "assist" kwa ccm katika kupangua hoja zozote zinazotoka chadema na kwa wakati fulani amesababisha hata wabunge wa chadema kuonekana vituko bungeni.

Huyu lukuvi rafiki yake mkubwa ni ag werema, na kiprotokali wakati wote huketi pamoja bungeni, na kwa muda wote wanakuwa wanabadilishana mawazo.

Kuhusu hii hoja ya walioficha mabilioni ya fedha uswis, lukuvi alijua wazi kuwa hali ilivyo ni kwamba tayari imeundwa tume ya kushughulikia hilo swala, na pengine ikaiporomosha ccm in case hawatamdhibiti mwanasiasa makini zitto zuber kabwe ndinga.

Akagundua hali ilivyo ndani ya chadema, wakatumia risasi moja tuu "kumpiga zitto" akijua kwa vyovyote wataiclear hoja na mjadala utahama, na kweli kwa siku ya jana tuu wanachadema wameungana na serikali kupambana na zitto kabwe.

Mimi ninaamini willium lukuvi ni mbunge makini sana yoyote yanayotokea awe amesema waziri mkuu, ag, au mbunge yoyote wa ccm lazma ayapitie kwanza na atoe "assist" kama vile ozil (mchezaji kiungo/midfilder wa arsenal anaesifika kwa kutoa goal assist)
toka siku umeupa uongozi wa juu wa chadema masaa kadhaa bila kufanya ulivyotaka ukaahidi kuhama na ukahama kweli nilikuona kilaza usiyejua hata utensaji kazi wa taasisi
 
Back
Top Bottom