sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,662
William Lukuvi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshuhulikia Sera, Uratibu na Bunge. Kwa jina jingine ni "Chief Whip"
Hii nafasi ni muhimu sana hassa kwa chama kinachotawala, kazi kubwa kuwaweka sawa wabunge wa CCM waiunge mkono serikali na kuzi counter hoja,grenades and strategies kutoka kambi ya upinzani. Kwa upande wa chadema "chief whip" ni Tundu Antipas Lissu mwanasheria kajanja kajanja.
Kilichonisababisha nimzungumzie Lukuvi ni kutokana na uwezo anaouonyesha haswa kwenye kutoa "assist" kwa CCM katika kupangua hoja zozote zinazotoka chadema na kwa wakati fulani amesababisha hata wabunge wa chadema kuonekana vituko bungeni.
Huyu Lukuvi rafiki yake mkubwa ni AG Werema, na kiprotokali wakati wote huketi pamoja bungeni, na kwa muda wote wanakuwa wanabadilishana mawazo.
Kuhusu hii hoja ya walioficha mabilioni ya fedha Uswis, Lukuvi alijua wazi kuwa hali ilivyo ni kwamba tayari imeundwa tume ya kushughulikia hilo swala, na pengine ikaiporomosha CCM in case hawatamdhibiti mwanasiasa makini Zitto Zuber Kabwe Ndinga.
Akagundua hali ilivyo ndani ya chadema, wakatumia risasi moja tuu "kumpiga Zitto" akijua kwa vyovyote wataiclear hoja na mjadala utahama, na kweli kwa siku ya jana tuu wanachadema wameungana na serikali kupambana na Zitto Kabwe.
Mimi ninaamini Willium Lukuvi ni mbunge makini sana yoyote yanayotokea awe amesema waziri mkuu, AG, au mbunge yoyote wa CCM lazma ayapitie kwanza na atoe "assist" kama vile Ozil (mchezaji kiungo/midfilder wa Arsenal anaesifika kwa kutoa Goal Assist)