WilliamsRuto: Tutajenga vituo vya mafunzo ya ajira kata zote nchi nzima

Nondoh

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
298
478
.@WilliamsRuto "There will be a training centre in every ward across the country for the Ajira Digital Program" [HASHTAG]#JubileePlan4Kenya[/HASHTAG]

Kenya wameahidiwa kujengewa vituo vya mafunzo ya ajira kata zote nchi nzima

Ahadi hii naifananisha na ahadi aliyotupa Rais Magufuli na CCM yake kipindi cha kampeni lakini hadi sasa miaka miwili inakaribia file loading... Sijui hili file limeliwa na virus ama la

Nini mtazamo wako? Je Kenya watatekelezewa au nao file loading... Itawakumba?
 
Huu ni mpango endelevu na inawezekana maana kuna mengi nimeona serikali ikitimiza ambayo wengi tulidhani ni ndoto.

Vipi zile milioni hamsini kwa kila kijiji Tanzania, mlishazipata au ndio bado zipo kwenye michakato.
 
Kati ya vitu vya kipuuzi kufanya ni kutoa hiyo 50m kwa kila kijiji/mtaa.

Ni bora kikatafutwa kitu cha kufanya chenye thamani sawa na hiyo lakini sio kuwapa wananchi pesa! Hawawezi kuzitumia kabisa!

Bora hata wasizitoe kabisa, wasituletee mambo ya mabilioni ya JK tena
 
Pesa za kuanzishia vituo vya mafunzo ya ajira na za kuwalipa wakufunzi huoni ni bora angeipeleka kubuild capacity ya kuajiri watu wengi kwenye sekta zenye upungufu
 
Huu ni mpango endelevu na inawezekana maana kuna mengi nimeona serikali ikitimiza ambayo wengi tulidhani ni ndoto.

Vipi zile milioni hamsini kwa kila kijiji Tanzania, mlishazipata au ndio bado zipo kwenye michakato.
The file of milioni hamsini seems to be very heavy to open, we are still waiting it is loading...
 
Hiyo ni siasa tu, japo kenya mnajitahidi lakini ahidini vitu vinavyoonakana kuwa kweli
 
Back
Top Bottom