Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
VOA na BBC zinaripoti kuwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya amemfukuza kazi Waziri wa Elimu wa nchi hiyo kwa tuhuma za rushwa.
Kikwete na Washabiki-njaa wa CCM, muna la kujifunza hapo?
Kikwete na Washabiki-njaa wa CCM, muna la kujifunza hapo?