William Ngeleja jiandae 2025 una nafasi kubwa sana

Kimsingi nauona mtandao wa Willium Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastarmind wa siasa za fitna na Uharamia.

Ni yeye ngeleja 2025.
Ndo mmeanza kuandaa mazingira uku jf...kitaa hatokuja kueleweka, mda wake usha isha
 
Kimsingi nauona mtandao wa Willium Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastarmind wa siasa za fitna na Uharamia.

Ni yeye ngeleja 2025.
Suala la uRais ni kwenda taratibu tu wala siyo la kupania. Wote waliopania hawakuwahi kuwa Marais wa Tanzania. Mungu humdondoshea usiye mtarajia.

A H Mwinyi alipata badala ya Salim Ahmed Salim aliyekuwa anatakiwa na Nyerere. 1985

B W Mkapa alipata badala ya John Malecela na Horace Kolimba waliokuwa wanapendwa na Mwinyi. 1995

Jakaya Kikwette alipata badala ya Fredrick Sumaye, Mwandosya na Kigoda waliokuwa favourites wa Mkapa. 2005

Magufuli alipata badala ya Bernard Membe aliyekuwa ameandaliwa na Kikwette baada ya kumuengua rafiki yake wa muda mrefu Edward Lowassa. 2015.

Samia Suluhu alipata baada ya Magufuli kunyakuliwa na Ziraili licha ya kujiwekea mazingira ya kuwa Rais wa maisha.

Washaurini wote wanaotaka, kuwa WASIPANIE SANA. Historia haiwaungi mkono wanaopania
 
Namuona Rizwani Kikwete Akiapishwa kuwa Rais wa JMuungano wa Tanzania 2025.Itanoga Sana.Zanzibar Husein Mwinyi(baba kamuachia mwana).Na Huku Tzania Bara nako iwe Rizwani Kikwete(baba kamuachia mwana pia).Ingependeza Zaidi.
 
Ngeleja huyu huyu aliyekuwa mwanasheria wa vodacom anayeshinda shoppers cafe akinywa chai au? Huyu hata msukuma mwenzie JPM hakumpa nafasi sababu ya profile yake ya kuwa na dna ya ufisadi hawezi kutoboa.

Watu wengi hawapendi kuusikia ukweli mchungu kwamba Mitano tena kwa Mama yetu lakini mfumo na hulka ya CCM ndiyo ilivyo. Tuvumilie tuu mama amalize awamu zake then tunaweza kuwa na katiba pendekezwa hapo anaweza akaibuka mtu ndani ya ccm mwingine kushika usukani.

Ccm kama chama dola hakitapenda kuachia utawala kwa chama kingine hili linaweza kufanikiwa kwa Katiba mpya itakayoendana na ile rasimu aliyopendekeza Mzee Warioba . Otherwise Ccm bado tupotupo sana
 
Kimsingi nauona mtandao wa William Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastermind wa siasa za fitna na Uharamia.

Ni yeye Ngeleja 2025.
Msukuma tena? No please!
Asubiri kwanza upepo utulie tusahau kidogo
 
Kimsingi nauona mtandao wa William Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastermind wa siasa za fitna na Uharamia.

Ni yeye Ngeleja 2025.
Ni sukuma gang huyu nadhani watu wameshajifunza kutokana na makosa yaliyopita.
 
Kimsingi nauona mtandao wa William Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastermind wa siasa za fitna na Uharamia.

Ni yeye Ngeleja 2025.
Mmoja kati ya wanamkakati ameondolewa kitini??
 
hahahahaha kumbe ndio maana mko busy kumpiga Makamba mawe..

kwa hulka ya CCM, wanakwenda na mama mpaka 2030.. kama sio hivyo basi Mwinyi anakuja bara na mama anakwenda Zenji...Mwinyi anakamua mitano bara na mama mitano zenji..

2030 kwa utaratibu wa CCM waliojiwekea ni zamu ya Christian.. CCM muwe makini tu, msije kuwaleta vijana wa PK maana naona mnawakaribisha mpaka sebuleni taratibu....otherwise 2030 turudi kusini..
 
Mkuu ni vyema ungeliwataja vijana hao ili wathibitishwe au wasafishwe kwa maslahi ya taifa.
 
Kimsingi nauona mtandao wa William Ngeleja ukiwa makini sana kuelekea 2025 timu hii ni ya watu smart sana , imesheeni mamastermind wa siasa za fitna na Uharamia.

Ni yeye Ngeleja 2025.
Kweli tunahitaji Katiba Mpya. Tena Katiba ambayo mtu kama mimi ningeruhusiwa kwenda TRA nikalipia na kupewa risiti ya EFD, kisha nikaenda Polisi nikaonesha risiti yangu ili wakukamate nikutandike bakora kulingana na kiwango nilicholipia!
 
Back
Top Bottom