William Ngeleja amekaa kimya lakini 2025 ana jambo lake jimboni

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sengerema katika serikali ya awamu ya nne mheshimiwa WILLIAM NGELEJA huenda akachanga karata zake za ubunge katika jimbo hilo kwani viongozi wake wamerudi na wanalamba asali.

Ikumbukwe kuwa William Ngeleja ni miongoni mwa Wabunge walioomba msamaha kwa Hayati Magufuli baada ya sauti zao kuvuja kwenye mitandao ya kijamii.

Kupitia tukio hiyo na kwakuwa yeye yupo katika team huyo huenda mheshimiwa TABASAM akatupwa nje ya uwanja wa legue 2025
 
Ngeleja huyu huyu ambae mara ya kwanza alihusishwa na ufisadi wa fedha za Escrow, Makinikia na badae Tanzanite pia alisemekana kunufanika na mgawo wa sh milioni 40.4 ambazo baadae alizirudisha.

Alitajwa pia katika ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza mfumo wa uchimbaji, udhibiti, usimamizi na umiliki wa madini ya almasi na Tanzanite, akidaiwa kuhusika na dosari zilizoisababisha nchi kupoteza fedha nyingi.
 
Kha wanataka tena kurudi jamani si apumzike
 
Back
Top Bottom