Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Ndugu yangu Le Baharia Lemutuz, the Big show, Sauti za Umeme @NY amepata ajali nyingine ya kisiasa pale kigamboni baada ya kuangukia pua katika uchaguzi wa viongozi. Waliopita kidedea ni Ndg. Adriano Richard Haonga na Zulfikar ali Mzige.
Tafadhali ndugu yangu William Usikate tamaa. Kama vipi JK akupe hata ukuu wa wilaya ukisubiria Mtera 2015. umekuwa mtetezi mkubwa sana wa Chama, hata NEPI akupe kazi ya ushauri wake kwenye maswala ya mtandaoni na siasa kwa ujumla. Kumbuka hata shyrose Bhanji naye alipitia haya haya. USHAURI. Punguza kuhudhuria kumbi za starehe na kuzunguka na wadada zetu, pengine watakuona wa maana