William Malecela kajiondoa JF kwa sababu ya ITIKADI. Zitto ndani ya ndege ya JK ni us

Status
Not open for further replies.
Kazi kweli kweli,nahisi hat kusafiri kwake sehemu mbalimbali na kisomo chake hivi msaidii kitu,tunamtakia kila la kheri huko aendako!!
 
Binafsi yangu nilikuwa sifaidiki chochote na uwepo wake hapa jukwaani maana muda mwingi alikuwa ana utumia kwa ajili ya kujisifu na kutetea mambo ya ajabu ajabu yasiyo kuwa na tija kwa mustakabali wa taifa letu!

Kuna mjadala ulisha wekwa kuhusu tabia zake za kuanika picha zake na wadada wakiwa viwanja wakijirusha kwenye blog yake. Nadhani huu ndio muda muafaka wa yeye kwenda kuendeleze blog yake ya madada poa home of great thinkers viatu vimembana!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums

Toka jamaa aweke zile picha nikaona kuwa aliyekuwemo akilini mwangu na real W J malecela ni watu tofauti sana. Nilikuwa sielewi ni kwanini kila akigombea anapigwa chini, sababu kubwa ni yeye mwenyewe. Maana yangu kuwa adui wake ni yeye mwenyewe. He is the root cause of the image of him created on JF. Ni vizuri kama akiacha kujionesha kwenye TV, nako atajidhalilisha zaidi.
 
Nilipata bahati ya kusafiri naye gari moja for long trip toka Dodoma mpaka Dar na tulizungumzia kujitoa kwake, kwa vile sababu zake pia ameisha ziwasilisha rasmi kwa uongozi wa jf, kiukweli, sio za kupuuzwa!. Kwa vile mazungumzo yetu hayakuwa rasmi, kama nilivyoongea na Dr. Slaa, sio busara kuyaleta humu ila hoja za William sio za kupuuzwa.
ana hoja gani ya maana yule?
 
JF ni sehemu ya kupata habari, kuchangia na kutoa hoja na mengine mengi,

ukitoka katika JF ni kujiweka mbali na wana jamii wenye shauku wa kuzitumia Habari.
nikweli ametoka au ?///???
 
kuingia JF ni uhuru wa mtu..........
kuhusu kukosa midaharo na muhusika ni kukwepa katika JF wakati wana JF haohao anakutana nao sehemu zingine ..........
 
kuingia JF ni uhuru wa mtu..........
kuhusu kukosa midaharo na muhusika ni kukwepa katika JF wakati wana JF haohao anakutana nao sehemu zingine ..........
 
kwani kajionda kama member wa kawaida au kama mwanaisa wa jf.?
 
Katika kipindi cha StarTV Wiliam Malecela amefunguka ya kuwa kujiondoa JF, "KUJIONDOA JF KUNATOKANA NA TOFAUTI ZA KIITIKADI".

Inavyofahamika JF watu wote au washiriki wote wanashiriki katika hoja mbalimbali kwa mstakabali wa kulijenga taifa letu kukosoana, kutoa mawazo n.k bila kujali itikadi, jinsia, kabila, dini n.k.

Kauli ya Mh. William Malecela imethibitisha kitu kimoja sera ya CCM kinyume ya mahubiri yao majukwaani ya kudumisha upendo,mshikamano bila kujali itikadi, jinsia, kabila,dini n.k. Kama umeondoka kwa sababu za kiitikadi hapa alama ya kuuliza ???????.

Na picha ambayo naipata ni kwamba CCM midahalo, kukosoana n.k. HAVITAKIWI ili kupata uongozi wa CCM unapashwa kukaakimya katika kukikosoa chama CCM ama kuyataja maovu yake.

Nafikiri hii ni moja ya masharti ambayo yamekusukuma kutoka JF.

Kilichomtoa William Malecela JF si hoja hiyo, ninavyofahamu wadau wa JF kufumua nje siri ya aliyekuwa mmiliki wa Ze-Utamu kwamba ni William malecela kwa vile ilielezwa jina la Malecele ndilo lililoainishwa kwamba ni mmiliki wa Zeutamu. William Malecela alikiri hapa kwamba huyo mmoja wapo mtajwa ambaye jina la mwisho ni Malecela ni jamaa yake na anamfahamu.

Tukumbuke kuwa mtandao huo maarufu katika mambo ya ngono haukubakiza kitu hadi kugusa wakuu wa Magogoni kuwadhalilisha kwa kutumia Illustration na hivyo dhamiri zinaweza kumwibua aliyejificha kujiona katika kioo mambo ambayo alikuwa anawafanyia ambao kwa sasa anawachuchumia kupata ulaji.

JF ni Wiki-Leaks ya bongo kama ilivyokuwa Mwanahalisi bana, wakifumua mambo hapa wahusika utaona wanatapatapa na kuhangaika kutafuta njia ya kutokea, maana yake wameshikwa pabaya.

NDEGE MJANJA HUNASWA KWENYE TUNDU BOVU

Nilipata bahati ya kusafiri naye gari moja for long trip toka Dodoma mpaka Dar na tulizungumzia kujitoa kwake, kwa vile sababu zake pia ameisha ziwasilisha rasmi kwa uongozi wa jf, kiukweli, sio za kupuuzwa!.

Kwa vile mazungumzo yetu hayakuwa rasmi, kama nilivyoongea na Dr. Slaa, sio busara kuyaleta humu ila hoja za William sio za kupuuzwa.

Na wewe jitoe basi
 
Kilichomtoa William Malecela JF si hoja hiyo, ninavyofahamu wadau wa JF kufumua nje siri ya aliyekuwa mmiliki wa Ze-Utamu kwamba ni William malecela kwa vile ilielezwa jina la Malecele ndilo lililoainishwa kwamba ni mmiliki wa Zeutamu. William Malecela alikiri hapa kwamba huyo mmoja wapo mtajwa ambaye jina la mwisho ni Malecela ni jamaa yake na anamfahamu.

Tukumbuke kuwa mtandao huo maarufu katika mambo ya ngono haukubakiza kitu hadi kugusa wakuu wa Magogoni kuwadhalilisha kwa kutumia Illustration na hivyo dhamiri zinaweza kumwibua aliyejificha kujiona katika kioo mambo ambayo alikuwa anawafanyia ambao kwa sasa anawachuchumia kupata ulaji.

JF ni Wiki-Leaks ya bongo kama ilivyokuwa Mwanahalisi bana, wakifumua mambo hapa wahusika utaona wanatapatapa na kuhangaika kutafuta njia ya kutokea, maana yake wameshikwa pabaya.

NDEGE MJANJA HUNASWA KWENYE TUNDU BOVU

Kwa jinsi alivyo na matakataka kwenye ubongo wake sishangai mmiliki wa zeutamu akiwa William
 
Uwezo wake wa kupambana na hoja za wadau wa hapa ndani kwa W.J.Malecela ni mdogo sana usiolandana na elimu ikiwa ni pamoja na umri wake...........anaendeshwa sana na akili za kitoto
 
Pasco nae kaniacha hoi na kuonyesha ukame wa maono! Hivi kusafiri na WJM kutoka Dodoma mpaka Dar ni bahati?! Siku ukikamatwa na walio mteka Ulimboka na kupelekwa mabweccm halafu wakakuachia bila kukutesa na kuishia kukukata kucha ya kidole gumba cha mguu na nail cutter utasema una nini?!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom