William Lukuvi ni Waziri wa mfano

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Nimemsikiliza waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo William lukuvi kwenye kipindi cha dk45 ITV hakika ni waziri wa mfano anaongea kwa msisitizo, umakini na kujiamini kuhusu matapeli wa ardhi kwa kofia ya matajiri

Ameelezea jinsi wanavyo zulumu ardhi . amedai sasa mamlaka yake ya uwaziri ameyashusha chini kabisa , amedai wote wqliozulumiwa ardhi na matapeli waandike jina la tapeli huyo wamwandikie barua moja kwa moja kwa ofisi ya waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo Ihumwa Dodoma ataijibu.

Soma pia:

Nimemsikiliza waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo William lukuvi kwenye kipindi cha dk45 ITV hakika ni waziri wa mfano anaongea kwa msisitizo, umakini na kujiamini kuhusu matapeli wa ardhi kwa kofia ya matajiri

Ameelezea jinsi wanavyo zulumu ardhi . amedai sasa mamlaka yake ya uwaziri ameyashusha chini kabisa , amedai wote wqliozulumiwa ardhi na matapeli waandike jina la tapeli huyo wamwandikie barua moja kwa moja kwa ofisi ya waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo Ihumwa Dodoma ataijibu
He has presidential personalities..!
Huwa namuelewa Lukuvi
 
Anajitahidi ingawa kuna rushwa sana huko ardhi ukiacha hii ya kudhurumu ardhi za watu
 
Nimemsikiliza waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo William lukuvi kwenye kipindi cha dk45 ITV hakika ni waziri wa mfano anaongea kwa msisitizo, umakini na kujiamini kuhusu matapeli wa ardhi kwa kofia ya matajiri

Ameelezea jinsi wanavyo zulumu ardhi . amedai sasa mamlaka yake ya uwaziri ameyashusha chini kabisa , amedai wote wqliozulumiwa ardhi na matapeli waandike jina la tapeli huyo wamwandikie barua moja kwa moja kwa ofisi ya waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo Ihumwa Dodoma ataijibu
Porojo, porojo za kisiasa, hana dhamira hasa ya kulinda haki za watu. Tanga yamemshinda. Tony, afisa ardhi mteule Tanga anauza viwanja vya watu kwa kiburi cha Lukuvi. Lukuvi alitoa maamuzi ya ukandamizaji wa wanyonge.
 
Back
Top Bottom