Wilfred Muganyizi Rwakatare ''Engaju" anasubiriwa kwa hamu Bukoba!

lowasa alipokelewa jimboni kwake kwa nderemo na vifijo, yaani kama mwokozi flani hivi, CHENGE na mafisadi wengine walipokelewa kama wafalme majimbono kwao.. sioni ajabu hata GAIDI HILI LWAKATARE likipokelewa kishujaa huko kwao kwa akina NSHOMIRE.... ni hulka ya waTZ kushabikia hata mijitu inayonuka kashfa za mauaji na ufisadi. kwa watanzania! tumezalisha another SUPERSTAA aliyetokana na upangaji wa mauaji ya wanahabari... pathetic.......................

Notradamme
Kati ya Rwakatare na Mwigulu gaidi nani? Tusubiri mahakama itatuonyesha gaidi ni nani acha papala zenu, mulichokidhamiria kitaanikwa hadharani sijui nyuso zenu mutazificha wapi itakapogundulika kwamba ni mambo ya kupika. Leteni mashahidi wenu fake hakimu au jaji mwenye uelewa atawagundua tu. Tutawafungulia mashitaka mbele za wapiga kura tuone unafiki wenu utakapowafisha. Endeleeni kuwawinda binadamu wenzenu kama wanyama pori kwa kuwapiga risasi, kuwang'oa meno na kucha kama mulivyomfanyia Dr.Ulimboka na Kibanda malipo yake mutakutana nayo mbele za watanzania na mwenyezi Mungu
 
huenda unawaongelea watanzania tofauti na ninaowajua mimi, na huenda tunaamini katika mungu tofauti.. mimi watanzania ninaowajua ni wale walio rahisi kushawishika ila ni makini sana katika kutoa maamuzi(hususan kipindi cha uchaguzi).. na mungu ninaemuamini mimi ni yule aliye pamoja na wakweli na anayechukia wanafiki, wafitini na wagombanishi(kama mlivyo magaidi wa CDM).. na hivyo basi!!! kuna mengi ya kushtakiwa ninyi kwenye mahakama ya waTZ na mbele za mungu kuliko tulivyo sisi.... na kuhusu huyu gaidi RWAKATARE!!!It's just the matter of time before he issue is settled
 
Back
Top Bottom