Wilfred Muganyizi Rwakatare ''Engaju" anasubiriwa kwa hamu Bukoba!

Peopleeeeeeeeeeeessssssssssssssssssss...................Paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Leo Nkonyagi itaniuaaaaaaaaa..............................

mkuu otebw kumpm mbandure nanye nkole akagenyi.magamba m'''v' yanagonga,
 
Mpokeeni "Egaju" kwa honi,vinanda tarumbeta,vinubi, ngoma zeze matari yavumayo sana ni heshima kubwa sana kwa kamansa wetu, ila kubwa zaidi tuone hasira zenu kwenye sanduku za kura za serikali za mitaa 2014 na uchaguzi mkuu!hapo ndio mtakuwa mmemuenzi Sana "Egaju"
 
kamanda mkuu karb uraian,
Huyo mtembeza tindikal keshaishiwa,
Peoplezz pooweeer...
2naanza na mungu na 2namalza na mungu.. Accordn to kamanda lwakatare
 
Kwa nini kila mission iliyoanzishwa na Nape na Mwigulu inaishia kwa aibu kwao na heshima na ushujaa kwa waliolengwa?
Jee wenyewe wameligundua hilo? Na waliowapa go ahead wameona vijana wao wanavyo chemsha? Maana ukweli ni kuwa chuki dhidi ya CCM inaongezeka kwa watu kila baada ya mission moja kuundwa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Engaju,Entare yeirungu..! Rwakatare umekuwa nguzo hapa mkoani na sasa karibu tena tuikomboe Kagera yetu.. we miss you!
 
Yaani hapa ndo huwa naona CCM na mwiguru wao hamna kitu, Nyerere aliwaambia mwaka 1995 kuwa msihangaike na Mrema mtampa umaarufu wao wanahangaika na chadema bila kujua kumbe wanaipandisha chati!
 
NIMBASIMA MUNO BATATA. BAMAWE. BYOMA. BANYANZI...
ASANTENI SANA BABA. MAMA. PIA VIJANA. WAKAZI. WAUNGWANA PIA BARUBARU WENZANGU WA BUKOBA.. TUWAONYESHE CCM KWA UWAZI KABISA KUWA TUMEWACHUKIA SANA KWA UONEVU MKUBWA NA MBAYA DHIDI YA WATANZANIA DHAIFU AKIWEMO KAMANDA WETU LWAKATALE.. WAMETUHUDHI NA HATUTAWASAMEHe. WAMEMNYANYASA LWAKATALE KWA UHUNI NA USHENZI WA CCM NA MWIGULU WAO
 
NIMBASIMA MUNO BATATA. BAMAWE. BYOMA. BANYANZI...
ASANTENI SANA BABA. MAMA. PIA VIJANA. WAKAZI. WAUNGWANA PIA BARUBARU WENZANGU WA BUKOBA.. TUWAONYESHE CCM KWA UWAZI KABISA KUWA TUMEWACHUKIA SANA KWA UONEVU MKUBWA NA MBAYA DHIDI YA WATANZANIA DHAIFU AKIWEMO KAMANDA WETU LWAKATALE.. WAMETUHUDHI NA HATUTAWASAMEHe. WAMEMNYANYASA LWAKATALE KWA UHUNI NA USHENZI WA CCM NA MWIGULU WAO[/QUOTE
wakola waitu CCM ni kama silimu!!!
 
Hongereni na poleni sana familia ya Lwakatare, ndugu na marafiki.
Kazi ya ukombozi inasonga mbele kwa msaada wa Mungu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom