Namshukuru Mungu kwa kujibu maombi yangu na ya watanzania wote waliombeba Mr. Lwakatare na familia yake.
Kuhusu suala la udini, "JK JIULIZE KILA SIKU TUNAPANDA DALADALA PAMOJA MISIKITI NA MAKANISA YAPO MITAANI KWETU HAKUNA FUJO, " haya matatizo nani kaanzisha kama si misemo yako wakati unatafuta kura?