Wilfred lwakatare mkurugenzi wa ulinzi wa chadema

ecolizer baba

Member
Sep 29, 2010
88
310
Wakuu jambo....!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni siku kadhaa toka mkurugenzi wa usalama wa chama DUME CHADEMA ambach kimewnyima usingizi Chama cha Magambaz na wenzao Waliberali alipoachiwa kwa dhamana. Ikumbukwe kuwa huyu Kamamda alibambikiwa kesi na Serikali kwa makusudi ya Kuwarubuni watanzania wakichukie lakini ni kama vile walimpiga chura teke akiwa majini. Matokeo yake wameaibishwa na Mahakama kiasi kwamba Katibu Mkuu wa Magambaz "NDOVU" a.k.a KAINAN BARIDIIIII ameshindwa cha kuiambia kamati kuu yake. Lakini pia hata wale jamaa wa Lumumba wa buku 7 akina Ritz, Tandale, Mafilili, Ze Marcopolo, Bungeni, Saddam Hussein, Mtela Mwampamba na Juliana Shonza wamefiata mikia na wamebaki tu kutegemea Huruma za Waropokaji Mwigulu Chemba na Nape Nnauye ili waingize siku kwa kuleta uharo huku jukwaani.

NAPENDA KUJUA MWENYE TAARIFA ZOZOTE ZA ALIPO KAMANDA WA UKWELI LWAKATARE KWA SASA TAFADHALI.

Waslaamu.
 
Back
Top Bottom