Wilaya zenye baridi sana Tanzania

Seriously Lushoto ni kuzuri mno
Sijawai ona ile green sikufika miaka siku nilipelekwa aisee kujua ukoo wangu magamba huko duh pametulia hutoki jasho ,ile green ni noma n, ile miti wamepanda pembezoni mwa barabara ni mirefu nimependa sana
 
Virgin land
 
1630867976876.png

1630867797569.png
 
Wilaya ya Lushoto Tanga,ni baridi mda wote 12 months,utafaidi uoto mziri wa asili,matunda mazri ya nyanda za baridi, Jamii ya Wasambaa ni wakarim mno,utaenjoy na kuponya nafsi yako kwa pumziko muruaaa
 
Zongo

Usinga

Cc mshanajr
 
Makete no.1
Mufindi no.2
Njombe inamalizia

Kwa maoni yangu:
1. Makete
2. Njombe
3. Mufindi na Kilolo
4. Makambako
5. Lushoto
6. Chunya
7. Rombo
Miji ya
8. Mbeya
9. Arusha
10. Sumbawanga
11. Iringa
12. Songea
13. Babati
14. Singida
15. Songwe-Vwawa/Mlowo
 
Hivi mshapitia Bagamoyo au mnasema tu hapa!! Lile Baridi la Pwani ni balaa...
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom