Wilaya za Tanzania

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
947
545
Mkoa wa Arusha
Wilaya ya Meru
Wilaya ya Arusha Mjini
Wilaya ya Arusha Vijijini
Wilaya ya Karatu
Wilaya ya Longido
Wilaya ya Monduli
Wilaya ya Ngorongoro
Mkoa wa Dar es Salaam
Wilaya ya Ilala
Wilaya ya Kinondoni
Wilaya ya Temeke
Mkoa wa Dodoma
Wilaya ya Bahi
Wilaya ya Chamwino
Wilaya ya Chemba
Wilaya ya Dodoma Mjini
Wilaya ya Kondoa
Wilaya ya Kongwa
Wilaya ya Mpwapwa
Mkoa wa Geita
Wilaya ya Bukombe
Wilaya ya Chato
Wilaya ya Geita
Wilaya ya Mbogwe
Wilaya ya Nyang'hwale
Mkoa wa Iringa
Wilaya ya Iringa Vijijini
Wilaya ya Iringa Mjini
Wilaya ya Kilolo
Wilaya ya Mufindi
Wilaya ya Mafinga Mjini
Mkoa wa Kagera
Wilaya ya Biharamulo
Wilaya ya Bukoba Vijijini
Wilaya ya Bukoba Mjini
Wilaya ya Karagwe
Wilaya ya Kyerwa
Wilaya ya Misenyi
Wilaya ya Muleba
Wilaya ya Ngara
Mkoa wa Katavi
Wilaya ya Mlele
Wilaya ya Mpanda Mjini
Wilaya ya Mpanda Vijijini
Mkoa wa Kigoma
Wilaya ya Buhigwe
Wilaya ya Kakonko
Wilaya ya Kasulu Vijijini
Wilaya ya Kasulu Mjini
Wilaya ya Kibondo
Wilaya ya Kigoma Vijijini
Wilaya ya Kigoma-Ujiji
Wilaya ya Uvinza
Mkoa wa Kilimanjaro
Wilaya ya Hai
Wilaya ya Moshi Mjini
Wilaya ya Moshi Vijijini
Wilaya ya Mwanga
Wilaya ya Rombo
Wilaya ya Same
Wilaya ya Siha
Mkoa wa Lindi
Wilaya ya Kilwa
Wilaya ya Lindi Vijijini
Wilaya ya Lindi Mjini
Wilaya ya Liwale
Wilaya ya Nachingwea
Wilaya ya Ruangwa
Mkoa wa Manyara
Wilaya ya Babati Mjini
Wilaya ya Babati Vijijini
Wilaya ya Hanang
Wilaya ya Kiteto
Wilaya ya Mbulu
Wilaya ya Simanjiro
Mkoa wa Mara
Wilaya ya Bunda
Wilaya ya Butiama
Wilaya ya Musoma Mjini
Wilaya ya Musoma Vijijini
Wilaya ya Rorya
Wilaya ya Serengeti
Wilaya ya Tarime
Mkoa wa Mbeya
Wilaya ya Chunya
Wilaya ya Ileje
Wilaya ya Kyela
Wilaya ya Mbarali
Wilaya ya Mbeya Vijijini
Wilaya ya Mbeya Mjini
Wilaya ya Mbozi
Wilaya ya Momba
Wilaya ya Rungwe
Wilaya ya Tunduma
Mkoa wa Morogoro
Wilaya ya Gairo
Wilaya ya Kilombero
Wilaya ya Kilosa
Wilaya ya Morogoro Mjini
Wilaya ya Morogoro Vijijini
Wilaya ya Mvomero
Wilaya ya Ulanga
Mkoa wa Mtwara
Wilaya ya Masasi Mjini
Wilaya ya Masasi Vijijini
Wilaya ya Mtwara Vijijini
Wilaya ya Mtwara Mjini
Wilaya ya Nanyumbu
Wilaya ya Newala
Wilaya ya Tandahimba
Mkoa wa Mwanza
(Manisipaa za Mwanza mjini)
Wilaya ya Ilemela
Wilaya ya Nyamagana
Wilaya ya Sengerema
Wilaya nyingine mkoani
Wilaya ya Kwimba
Wilaya ya Magu
Wilaya ya Misungwi
Wilaya ya Ukerewe
Mkoa wa Njombe
Wilaya ya Ludewa
Wilaya ya Makambako
Wilaya ya Makete
Wilaya ya Njombe Vijijini
Wilaya ya Njombe Mjini
Wilaya ya Wanging'ombe
Mkoa wa Pemba Kaskazini
Wilaya ya Wete
Wilaya ya Micheweni
Mkoa wa Pemba Kusini
Wilaya ya Chake Chake
Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Pwani
Wilaya ya Bagamoyo
Wilaya ya Kibaha Mjini
Wilaya ya Kibaha Vijijini
Wilaya ya Kisarawe
Wilaya ya Mafia
Wilaya ya Mkuranga
Wilaya ya Rufiji
Mkoa wa Rukwa
Wilaya ya Kalambo
Wilaya ya Nkasi
Wilaya ya Sumbawanga Vijijini
Wilaya ya Sumbawanga Mjini
Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Mbinga
Wilaya ya Namtumbo
Wilaya ya Nyasa
Wilaya ya Songea Vijijini
Wilaya ya Songea Mjini
Wilaya ya Tunduru
Mkoa wa Shinyanga
Wilaya ya Kahama Mjini
Wilaya ya Kahama Vijijini
Wilaya ya Kishapu
Wilaya ya Shinyanga Vijijini
Wilaya ya Shinyanga Mjini
Mkoa wa Simiyu
Wilaya ya Bariadi
Wilaya ya Busega
Wilaya ya Itilima
Wilaya ya Maswa
Wilaya ya Meatu
Mkoa wa Singida
Wilaya ya Iramba
Wilaya ya Manyoni
Wilaya ya Singida Vijijini
Wilaya ya Singida Mjini
Mkoa wa Tabora
Wilaya ya Igunga
Wilaya ya Kaliua
Wilaya ya Nzega
Wilaya ya Sikonge
Wilaya ya Uyui
Wilaya ya Tabora Mjini
Wilaya ya Urambo
Mkoa wa Tanga
Wilaya ya Handeni
Wilaya ya Kilindi
Wilaya ya Korogwe
Wilaya ya Lushoto
Wilaya ya Mkinga
Wilaya ya Muheza
Wilaya ya Pangani
Wilaya ya Tanga Mjini
Mkoa wa Zanzibar Kati/Kusini
Wilaya ya Zanzibar Kati
Wilaya ya Zanzibar Kusini
Mkoa wa Zanzibar Mjini Kaskazini
Wilaya ya Zanzibar Mjini Magharibi "A"
Wilaya ya Zanzibar Mjini Kaskazini "B"
Mkoa wa Zanzibar Mjini Magharibi
Zanzibar Mjini
Wilaya ya Zanzibar Mjini Magharibi
 
Ongezea Wilaya ya Malinyi, haipo hapo, Pia hakuna Wilaya ya Morogoro Vijijin, ila kuna Wilaya ya Mvua, Pia hakuna wilaya ya Makambako(Makambako ni Halimashauri ya Katika Wilaya inayoitwa Njombe).
 
Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar:
Wilaya ya Mjini
Wilaya ya Magharibi A
Wilaya ya Magharibi B
 
Back
Top Bottom