Wilaya ya Pangani kupokonya viwanja kando mwa bahari kwa walioshindwa kuviendeleza

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,189
2,970
PANGANI.jpg
Mkuu wa wilaya ya Pangani, Regina Chonjo ametoa agizo kwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kwa kushirikiana na afisa ardhi kuanza haraka kufanya tathmini ya viwanja ambavyo havijaendelezwa vikiwemo vile vilivyopo kwenye fukwe za bahari.

Walioshikilia viwanja hivyo wamepewa miezi mitatu kuviendeleza na kinyume chake watapokonywa viwanja hivyo kulingana na sheria.
 
Tunasubiri utekelezaji
 
Back
Top Bottom