Mtoa mada kama ulikuwa kichwani mwagu nilitaka kuandika hii issue mbarali umeme umekuwa kero wanakata hovyo hovyo kama jana alhamis tangu saa tatu unaludi saa tano kweli hii sio kabisa watu wana viwanda vyao vya kukoboa mpunga inabidi shughuli zisimame siku zima sio haki kabisa hii.
Waziri Nishati.. .Imekaeje hii ya kukatika katika umeme? Wakati wilaya ina Chanzo mbadala Cha Umeme power station? Unaotumika Nafco Mbarali(Estate baada ya ubinafishaji)???tena Umeme wa Maji? Kwa mbali jipu hilo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.