Wikiya nne wakazi wa Ubungo kibangu hawana maji, wanayafuata Mabibo

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,627
Huu ujumbe uwafikie wahusika wa Dawasa popote mlipo.

Dawasa leo ni week ya nne wakazi wa Ubungo kibangu hawana maji wanayafata mabibo na tabata.

Leo ni wiki ya nne wakazi wa kibangu juu hawana maji hawajaona hata tone la maji majumbani kwao.

Wakazi wa ubungo hususan kibangu juu,baadhi maeneo ya Kimara na mbezi wanakaa hata week kadhaa bila kuona maji.

Wanaotia huruma ni watu wa kibangu juu week nne leo hawajaona hata tone la maji bombani sasahivi watu wanatoka kibangu wanafata maji Mabibo,riverside na tabata.

Hali ni tete halafu dawasa wapo kimya kama vile hawapo hii sio fair kabisa.
 
Nikweli, mara ya mwisho yalitoka usiku wa kuamkia jpili saa 8 mpaka alfajiri hivi.....hali ni tete
 
🐒🐒🐒
4321image12.png
 
Mkuu nimerudi jioni hii,nimekuta maji yanatoka na inasemekana tangu saa 11 jioni hivi na mpaka saizi saa 2 usiku yanatoka
 
Hii nchi tabu tupu maji shida ,umeme shida
Kuhus maji tumezungukwa na maziwa makubw sana kuset tu pump za maji yanasambazw kutoka kweny vyanzo lakn bado tunalia lia maj..
 
Back
Top Bottom