wikipedia huu ni utani, ndio eh? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wikipedia huu ni utani, ndio eh?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbu, May 13, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  jamani ehhh, nimeikuta leo kwenye peku peku zangu za wikipedia jina la 'mchezaji' wa Tanzania anayeichezea Southhall United, Baldeep Syan. Mmeshawahi kumsikia?

  ...bofya hiyo link hapo chini kama huamini!

  source; [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania_national_football_team"]Tanzania national football team - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Na utani wenyewe ni kiboko
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hivi nani ana update habari hizi, tuseme jamaa ni hacker au? duh...aisee hii ni kali, acha ibakie hapa hapa kwenye Jokes, ikipelekwa kwenye thread ya siasa, au habari mchanganyiko huenda kuna mtu atapoteza kibarua chake huko serikalini! :D
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe alafu eti kaichezea stars mechi 87 an kufunga magoli 102!
  ...na huyu [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Taflit_Rulander"]Taflit Rulander[/ame] mbona siajwahi kumsikia..
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Usije shangaa kuona kuwa ana gamba la kijani la TZ
   
 6. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wikipedia is not a good source of information, any Tom, Dick or Harry can upload stuff that can escape the editors' eyes
   
 7. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Don't carry any infor from wikipedia kwani hata wewe unaweza kuchange hayo maandishi. wiki ni upuuzi mtupu kwani hakuna restriction katika kupost infor.
   
Loading...