Wikileaks wakabidhiwa account za marais huko uswiss,nkapa,kikwete kusalimika?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wikileaks wakabidhiwa account za marais huko uswiss,nkapa,kikwete kusalimika??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Jamani sijui maombi ya watnzaniia na watu wa mungu yanazidi kuongezeka
  yaanni sijui nisemaje,,majuzi waliomwona mkuu wa wikileaks juan akipokea docs za watu wa uswiss walioiba nchi zao na kumwaga hela zao kule uswiss,,,

  jamani ndgu zangu nkapa na kikwete wanapona
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha ha Pdidy bana
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wacha picha ianze!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,811
  Trophy Points: 280
  :popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn:
   
 5. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  this is obvious when the system wants to collapse
   
 6. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Corrupt.
   
 7. ndogwila

  ndogwila Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  hii sasa inatisha,sipati picha atakayesimama kwa tiketi ya ccm2015 atawaambia nini wananchi wenye hasira ya kuibiwa rasilimali zao na vigogo wachache,ujio wa wikileaks ni kama ule wa nabii Mungu wabariki wikileaks.
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Yaani napita kila uchao kuona kama wamekwishabandika............!
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kama ni ukweli sijui hii Movie tuipe jina gani?
   
Loading...