Wikileaks: Profile za viongozi wetu zimo?

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Toka sakata la WIKILEAKS lianze nimekuwa nakuna kichwa kama viongozi wetu wamo. Je kama wamo profile zao zinasema nini? je na sisi tuna profile za viongozi wa nje ambazo mheshimiwa anapewa kabla hajaonana nao?
Profile ya rais wa Urusi imeandikwa kwamba hana nguvu zozote za kimamlaka na ni "puppet" wa Putin. Rais wa Ujerumani ameandikwa kwamba ni muoga na siyo mbunifu.Kiongozi wa Kazakhstan ametajwa kwamba anapenda sana kujirusha.
I cant wait to see profile ya Muungwana.
 
Nani anawajua viongozi omba omba wa Tanzania mpaka awaandike? labda waitwe omba omba
 
Cable za Tanzania hazijapewa kipaumbele, hazijawekwa online bado.
 
Toka sakata la WIKILEAKS lianze nimekuwa nakuna kichwa kama viongozi wetu wamo. Je kama wamo profile zao zinasema nini? je na sisi tuna profile za viongozi wa nje ambazo mheshimiwa anapewa kabla hajaonana nao?
Profile ya rais wa Urusi imeandikwa kwamba hana nguvu zozote za kimamlaka na ni "puppet" wa Putin. Rais wa Ujerumani ameandikwa kwamba ni muoga na siyo mbunifu.Kiongozi wa Kazakhstan ametajwa kwamba anapenda sana kujirusha.
I cant wait to see profile ya Muungwana.

Kikwete awekwe kwenye Wikileaks, si ataruka hadi chalinze. Mtu kazi yake kuombo nani anamtilia maanani rais mpuuzi kama wetu. Kikwete hafai, na wala hastahili kuitwa Rais, bali ombaomba mzururaji.
 
Kwa mujibu wa Wikileaks wanazo documents za TZ jumla 755. Lakini mpaka sasa hivi bado hawaja release information yoyote toka TZ.
 
Back
Top Bottom