Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Toka sakata la WIKILEAKS lianze nimekuwa nakuna kichwa kama viongozi wetu wamo. Je kama wamo profile zao zinasema nini? je na sisi tuna profile za viongozi wa nje ambazo mheshimiwa anapewa kabla hajaonana nao?
Profile ya rais wa Urusi imeandikwa kwamba hana nguvu zozote za kimamlaka na ni "puppet" wa Putin. Rais wa Ujerumani ameandikwa kwamba ni muoga na siyo mbunifu.Kiongozi wa Kazakhstan ametajwa kwamba anapenda sana kujirusha.
I cant wait to see profile ya Muungwana.